ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,637
Sipendi ukabila ila watu wengi wanajua wachagga ni superior,Hivyo basi wanapata ka wivu fulani hivi.
Angalia orodha ya makabila 10 Afrika
Angalia orodha ya makabila 10 Afrika
Kulikuwa hamna checks.Magufuli kuamuru tu vyeti vihakikiwe wachaga kibao wamefungashwa virago kwa vyeti feki au cheti kimoja kutumiwa na ndugu wachaga Hadi kumi kuomba ajira .mwingine meakimu,mwingine mfanyakazi halmashauri ,mwingine shirika la umma nkKwamba wachaga walikuwa juu ya serikali? Njia ya muongo Ni fupi
Aiseee ni wewe kweli au umefanyiwa udukuzi?Mbona serikalin mmejazana kama sio wakabila Wachaga tunajuwa chuki iliopo juu yao na mm nasema Mungu atajibu mapema wala sio mchana mnataman hata ule mlma mpeleke.... Kwenye mbuga yenu
Taratibu basi mtoa maoni, maana na wengine tutaitwa wapuuzi kwa mawazo yetu. Ikiwa nia ni kuondoa ukabila, mbona amesema ni ruksa vyama vya WAMASAI na WAIRAQW? Hayo sio makabila?RC yupo sahihi ni kuleta ukabila tu na ubaguzi , futa kabisa huo upuuzi
Huyo si bure kuna sehemu watu wamegusa,hapo kabla alidhani ana immunity.Kama ni wewe kweli basi maajabu !
Sio kweli kwa wachaga inaenda beyond Hadi kusaidiana ajira,vyeo,fursa ,tenda nk hivyo vyama vyao vimeleta maumivu Sana kwa wengi kilio Cha walioumia Mungu Kakisikia na ataendelea kutoa majibu.Nilienda Kilimanjaro 2015 kuangalia Kama Magufuli anakubalika au la nikaenda kusali kanisa moja la KKKT nje kulikuwa na kibao kimeandikwa Pombe hapa marufuku nje ya kanisa nikauliza maana yake Nini ? Nikaambiwa hujui uchaguzi unakuja hapa kanisani John Pombe Magufuli marufuku kupewa kura .Hicho kibao kimewekwa na usharika kuwakumbusha waumini siku ya kupiga kura wasichague MagufuliMimi nijuavyo, vyama hivi ni muungano tu wa watu wa jamii moja kusaidiana yanapotokea majanga, mostly misiba. Hapa Dar Wachaga tunawaona wakifanya vikao vyao wanakodi Coaster safari ya kupeleka mwili inaanza. NO HARM...upuuzi upo wapi?
Kwanini isiwe sera ya kitaifa ikagusa hadi makabila mengine ?Hii itasaidia kuondoa makundi kwenye jamii
Kwendeni huko. Kwani mkipiga marufuku mnafikiri ndio mtawarudisha wachagga nyuma? Alishindwa Nyerere kuwa rudisha nyuma mtaweza nyinyi?Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Roho mbaya tuu!!hivi why wanawachukia wachaga tukubali wametupita vingi mnoooo!!tuendelelee kujifunza kutoka kwao!
Nasema hivi Roho mbayaaaaaaaaa!!na siwapendi miye mijitu kama hyooo na kwa staili hii hatutakaa tuwafikie wachaga ng'ooo..tunakoeleka tutawakataza kwenda desemba kwao!
Na Wahaya Wanyakyusa Wakurya hawa mbona ni zaidi ya wachaggaHapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
au apige marufuku hotuba za kisukumaKama RC yeye ni mwamba basi afute na kikundi cha watu wanaotoka GEITA , tuone kama atabaki madarakani.
Zamani niliamini wasomi nchi hii ni wachagga tuWachaga Mungu kesha wapa majibu Mitandao yenu mliyojenga miaka ya kuonea makabila mengine kwenye ajira,tenda,vyeo na fursa Mungu kamtumia Magufuli kuwapa majibu yenu.Uovu wenu umepatiwa majawabu