Wachaga Mungu kesha wapa majibu Mitandao yenu mliyojenga miaka ya kuonea makabila mengine kwenye ajira,tenda,vyeo na fursa Mungu kamtumia Magufuli kuwapa majibu yenu.Uovu wenu umepatiwa majawabu
Nani kakwambia rais wetu anaongoza Kwa kukandamiza kabila Fulani...yeye ni rais wa wote....kuanza buzirayombo mpaka kiraracha....kama unachuki zako na akina mangi...baki nazo mwenyewe usimuhusishe rais wetu...Na watanzania Naomba tuepukane na haya mambo ya ubaguzi....si mazuri kabisa Kwa maslai mapana ya nchi yetu.mtu yeyote anayetaka kutugawa Kwa misingi ya ukabila, udini au ukanda tumkatae Kwa nguvu zetu zote...Wachaga Mungu kesha wapa majibu Mitandao yenu mliyojenga miaka ya kuonea makabila mengine kwenye ajira,tenda,vyeo na fursa Mungu kamtumia Magufuli kuwapa majibu yenu.Uovu wenu umepatiwa majawabu
Mbona ccm inawabaguwa Watanzania?Safi sana! Wachaga huwa na ubaguzi sana
Ila wakati mwingine hawashiriki misiba ya wengine, wakitegemea uvyama wao.
Ni kweli kabisa kwa vile ndio wenye kushika mkia ktk maendeleo na wanataka kila mtu afanane nao.Uchunguzi umebaini kwamba maendeleo ya nchi hii yanakwamishwa na wachaga
kasemaji kwani, nipo jirani na mkulu Nimwambie afanye yake.Kauli ya RC Mnyeti nikauli ya kibaguz tena ubaguz wa kikabila. Mm nasema asipo guswa mpaka j3 basi yupo mlez wa ubaguz huu na tusimfiche tumwambie ukweli wewe ni mbaguzi na sisi ni Watanzania.
kasemaji kwani, nipo jirani na mkulu Nimwambie afanye yake.
ka thread kafupi halafu hakaelewekiKauli ya RC Mnyeti ni kauli ya kibaguzi tena ubaguzi wa kikabila. Mimi nasema asipoguswa mpaka Jumatatu basi yupo mlezi wa ubaguzi huu na tusimfiche tumwambie ukweli wewe ni mbaguzi na sisi ni Watanzania.
Hivyo vikundi vikitaka kusuvirve vishone sare ya kitambaa pendwa cha CCM!
Weka takwimu mezani acha kubwabwaja...Wewe vyeti feki waliotumbuliwa na Magufuli asilimia kubwa wachaga .Funga mdomo.
Hizo zote ndiyo Sera za utawala wa awamu ya tano, ambao umeamua kufanya ubaguzi ndani ya nchi hii, iliyokuwa haina ubaguzi wa kabila, dini wala itikadi za kisiasaKauli ya RC Mnyeti ni kauli ya kibaguzi tena ubaguzi wa kikabila. Mimi nasema asipoguswa mpaka Jumatatu basi yupo mlezi wa ubaguzi huu na tusimfiche tumwambie ukweli wewe ni mbaguzi na sisi ni Watanzania.
Unaongea kwa chuki...,Kulikuwa hamna checks.Magufuli kuamuru tu vyeti vihakikiwe wachaga kibao wamefungashwa virago kwa vyeti feki au cheti kimoja kutumiwa na ndugu wachaga Hadi kumi kuomba ajira .mwingine meakimu,mwingine mfanyakazi halmashauri ,mwingine shirika la umma nk
Wizi mtupu
Mbona hamsemi wamasai wana ubinafsi pamoja na kuwa ndio kabila lenye kuzingatia mila na kuwa hata na shule maalumu za watoto wa kimasai?Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.