Kwa mujibu wa takwimu za serikali, mkoa wa kilimanjaro ni mkoa wa pili Tanzania watu wake kuwa na maisha bora kwa 90% ikifuata baada ya dar yenye 92%Mbona hamuonyeshi vijumba vibovu huko migombani na migomba iliyochoka yenye mashina kama mguu wa mbuzi huko machame na kwingineko. Kila sehemu sasa watu wanajenga na wenye nyumba mbovu wapo kila mahali ikiwa ni pamoja na uchaggani. Mlitangulia sawa lakini kwa sasa watanzania wote wamesoma na wanajenga nyumba nzuri vijijini, kwa hiyo msikariri sana na kujiona wa tofauti sana na watanzania wengine.
Tulia dawa ipenye umejibiwa jibu mujarabuWachagga mmezidi, acha kujitia ufahamu.
Kwa mujibu wa serikali, kilimanjaro 90% wanaishi maisha bora sasa wewe jidanganye kilimanjaro ni baba lao kwenye maendeleo,Hakuna mkoa wowote TANZANIA unaofikia makazi ya kisasa vijin kuzidi kilimanjaroWewe dogo mimi nchi hii ninaifahamu yote, huko uchaggani unakolingia napafahamu sana, ni pa kawaida tu mtu unamiliki robo eka halafu unasema we tajiri
Tunazifahamu nyumba nyingi za udongo huko machame na migomba iliyochoka mashina kama mguu wa mbuzi mbona hamuonyeshi ? Kawadanganye wasiofika kilimnjaro maisha ni magumu sana ule mkoa. Mbona husemi kuhusu mazezeta wa huko Kishumundu na old Moshi ? Hui mkia ni kaa la moto kuishi, ardhi haitoshi, chakula maeneo mengi ni shida tupu. Acha kujiinua bila sababu, maisha ya waafrika wote tunafanana tu.
Unapoteza Muda bure, Nipo huku had sasa na nimekaa wiki ya tatu hii, vijana kwa wazee huku wanakunywa tu mbege, Vijana wa mjini mkipata something mnakumbuka walau kuja kuwajengea wazee nyumba, yenye aluminum roof na umeme na koki ya maji nje, mtu ukimwachia elfu 10 anakuona kama mungu mtu.. ni Ulimwengu wa Tatu tu kama sehemu nyingi za Tanzania na Africa kwa Ujumla, mvua ikinyesha hata kwenda kwa jirani huwezi maana ni tope na Landscape ya huku ni Vimilima na miinuko, tofauti kati ya Mtanzania wa Kilimanjaro na wa mbeya au Songea haipo. Nasema nikiwa namaanisha.
Otherwise huku kuna hali ya hewa nzuri na mvua ni nyingi, Kama kungekuwa kumejengeka basi kungependeza sana.
Wachagga bana mkiona hamzungumziwi lazima muibuke na vioja.
Akili zako ziko makalioni badala ya kichwani,pimbi weweKwani ili mtu akusaidie kwenye msiba ni lazima awe wa kabila lako tu? Hoja dhaifu hii.
Mlikotoka kuna kabila moja tu? Hoja mufilisi hii.
Mnyeti shikilia hapo hapo baba. Majitu haya yanaleta ukabila nchini.
Kwa mujibu wa serikali, kilimanjaro 90% wanaishi maisha bora sasa wewe jidanganye kilimanjaro ni baba lao kwenye maendeleo,Hakuna mkoa wowote TANZANIA unaofikia makazi ya kisasa vijin kuzidi kilimanjaroView attachment 1285828
Mbona kila mchaga ana pika picha jengo moja kama ilo? Yapo mengi kama ayo?Karibu uchagani mkuu dévelopment area,hapa sio uholanzi ni marangu moshi vijijinView attachment 1285803
Kwangu Mimi nimeona sehem yenye wananchi wenye maisha bora ni Zanzibar, Huduma zakijamii zipo kila mtaa, zenj umeme upo, maji, nyumba zakawaida lakin nzuri na Zanzibar akuna wazanzibar wanao lala nnje, na akuna waatoto wa mitaani kwakifupi wazanzibar hawana maisha magumu ya kufanana na sehem yoyote bara na kwa takwim siyo zakupika Zanzibar ndiyo wanatakiwa waongoze kwa wakazi wenye maisha bora.Bado nakuona unachekesha, takwimu za serikali zinatubia kilimanjaro Ni ya PILI kwa watu wake kuwa na maisha Bora sasa unabishana na takwimu? Hata kiuhalisia ukipita utaona tofauti na mikoa mingine tu, kilimanjaro huwez kuta watu wakitembea kilometa 10 kwenda zahanati au shule kule huduma hizo ni accuracy 90%,huwezi kuta mtoto kakalia mawe shule kule shule Ni nyingi mno Ni mkoa wa kwanza kwa shule nyingi Tanzania
Makazi ya watu kule 90% Ni ya kisasa takribani kila Kaya ina nyumba ya kisasa sasa ulitaka maisha gan?
Nadhani mngemjibu kwa hoja ingependeza zaidi!Akili zako ziko makalioni badala ya kichwani,pimbi wewe
Hoja hujibiwa kwa hoja!Wewe akili zako ziko kwene mnyeti tu