Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Nchi tunaenda wapi. Kwa nini watu was Kilimanjaro tu?
Msishanga na kabila lenyewe kufutwa kabisaa!

Ngoja agundue kuwa kila akiyataja maflaiova na mandege watu wanamcheka kwa sauti ya tumboni.
 
Mnafanya umoja kimagroup sasa , au kimtaa, mpak inafikia hatua ya chama kinarun mkoa mzima na mnaitisha kikao cha mkoa , si hatar hyo...alaf manyara sio far from Kilimanjaro , ni useles kutengeneza chama cha namna hiyo tena Kwa ukubwa huo , angalau ingekuwa Songea au katavi huko hapo inaweza ikamake sense , japo bado ni very dangerous
Kusema very dangerous bila kuonyesha huo u-dangerous wake ndo unakuwa umesema nini? Kwanini unajifananisha na mtu asiye na akili kama Mnyeti?
 
Unatoa maneno ya jumla sana bila kuelewa undani wa umoja wa kikabila. Kuna makabila yameunda umoja huo kwa lengo ovu kwa makabila mengine na moja ya makabila hayo ni Wachaga. Wanaunda umoja wa wachaga Shinyanga wanakoishi na kufanya biashara. Wanapanga mipango ya maendeleo ya Moshi na kuchanga pesa kupeleka moshi, siyo shinyanga wanapoishi na kuchuma mali. Wanaitisha vikao vya kuamua mchaga gani aletwe kuwa kiongozi wa kanisa Manyara au Sumbawanga. Wanapeana anuani za mahoteli ya wachaga ili wakisafiri wasiende hoteli ya kabila jingine. Wanatangaziana makanisani pandeni mabasi ya mchaga mwenzetu tumuunge mkono.

Mambo haya yanaposemwa hadharani ndo afya ya taifa kuonesha tunachukia tabia yao. hakuna haja ya kupamba malengo ya umoja na kujifanya hatujui ubaya wake.
Hii fitina na chuki inayoipandikiza usidhani itakuacha salama ndugu!

Kikinuka usidhani watakufa wachaga tu,watakufa hata wanao unaowalisha kwa fedha haramu za kujenga chuki ktk jamii.
Shauri yako!
We endelea tu na huu upumbavu wako.
 
Haina shida sisi wa kilimanjaro tunamshukuru sana Mungu tokea alivyotoa hilo tamko basi sisi wa Kilimanjaro tuanzisha group kwa telegraph na tayari wanachama wote wamejiunga na mikutano na ajenda zote zinaendelea kama kawaida
Hakuna kilicho haribika
December hii hiyo kitu imechukuliwa kuwa itakuwa ni agenda muhimu na tutawajuza wana kilimanjaro wengine mpaka wale wa chato kutumia hii technology kwa ajili ya kukutana na kupanga mipango yetu ya maendeleo. Tuone hivyo vishindo vya wenye chuki na sisi kama vyitaweza kuvunja umoja wetu
 
Upuuzi wa suala la UKABILA sio wa kufumbia macho. Kama ulivyo UBAGUZI wa aina yoyote ile ni JANGA. Mifano ni mingi. Nchini kwetu wenye asili ya kuzaliwa popote pale wana uhuru wa kikatiba kuishi popote pale nchini. So far so good. Kemeeni UPUUZI
Tatizo la huo umoja wa wanakilimanjaro mkoani Manyara ni nini hasa? Wanaleta ukabila mkoani huo? Wanatumia umoja huo kuleta jinai Manyara? Ni umoja wa kisiasa wenye lengo la kukusanya resources kufadhii kampeni 2020? Watu wa Kilimanjaro waishio Manyara wanatumia umoja huo kunyonya na kudhulumu rasilimali ya wakazi wa Manyara? Nini tatizo hasa ya umoja huo?
 
mnyeti hajielewi vikundi vingine vipo kwa mujibu wa sheria na vimesajiliwa Wizara ya Mambo ya Ndani na yeye hana mamlaka ya kivifuta .
kimsingi amechemka na hajitambui.
 
Binafsi nampongeza sana Mheshimiwa Mnyeti! Vikundi vya kikabila vinaleta ubaguzi kila uchao, tusipoangalia vikundi hivi vitaligawa Taifa! My Mnyeti Hongera sana. Mkazi wa Manyara
hapa mimi sielewi ni ubaguzi gani mnaouzungumzia?!, kwani na hao wengine si waanzishe vikundi vyao? yaani kabila fulani wakiwa na kikundi chao wengine roho zinawauma au vipi!, kwani kuna mkoa tz ambao hauna mchanganyiko wa makabila? na hata wakikutana huwa wanakutania ndani,sio nje, sasa shida inakuja vipi?, nyie watu nawaona mna inferiority complex, nothing else!
 
mbenge, wewe ndio nimekuelewa, hana hisia zozote zile zaidi ya chuki dhidi ya kabila fulani, coz hata boss wake analichukia hilo kabila, sababu nyingine zote ni unafiki tu.
 
mbenge,
Watakapotaka kuoa atawachangia wasisumbuke na watakapofariki watu hao wakataka kusafirisha miili kwenda kwao nadhani sasa ofisi yake itagharimikia rasmi pasipo shaka...
HEKIMA IKIPOTEA AMANI HUWA MASHAKANI..
 
Mbona hamuonyeshi vijumba vibovu huko migombani na migomba iliyochoka yenye mashina kama mguu wa mbuzi huko machame na kwingineko. Kila sehemu sasa watu wanajenga na wenye nyumba mbovu wapo kila mahali ikiwa ni pamoja na uchaggani. Mlitangulia sawa lakini kwa sasa watanzania wote wamesoma na wanajenga nyumba nzuri vijijini, kwa hiyo msikariri sana na kujiona wa tofauti sana na watanzania wengine.
Hapo umeona kanisa tu? Hahaha eti Tanzania yote Ni Sawa? Kwahyo moshi vijin kulivyo jengeka utafananisha na tandahimba? Hebu acha vituko
Hapa ni marangu(moshi vijijin) View attachment 1284400
 
Acha utoto wewe hapa Tanzania kuna waingereza, wamarekani, wafaransa n.k kwahiyo kisa wamekuja Tanzania inamaana nchi zao ni mbaya kuliko Tanzania? watu wanahama kupata fursa mpya sio kisa kwao kuna njaa sana
Wachagga mmezidi, acha kujitia ufahamu.
 
Ni ukandamizqji wa uhuru binafsi wa watu. Acha watu waunde vikundi vyovyote vile as long as hawavunji sheria
 
Wewe dogo mimi nchi hii ninaifahamu yote, huko uchaggani unakolingia napafahamu sana, ni pa kawaida tu mtu unamiliki robo eka halafu unasema we tajiri
Tunazifahamu nyumba nyingi za udongo huko machame na migomba iliyochoka mashina kama mguu wa mbuzi mbona hamuonyeshi ? Kawadanganye wasiofika kilimnjaro maisha ni magumu sana ule mkoa. Mbona husemi kuhusu mazezeta wa huko Kishumundu na old Moshi ? Hui mkia ni kaa la moto kuishi, ardhi haitoshi, chakula maeneo mengi ni shida tupu. Acha kujiinua bila sababu, maisha ya waafrika wote tunafanana tu.
Hahahaaaa, wachaga wasingekuwa huko unakoishi usingepata hata hyo akili iliyojaa usaha unayoringia kuandika utumbo humu. Zunguka tz yote ukikosa mchaga ujue hata mahali pa kula hapafai, wanakusaidieni kuondokana na upumbavu uliowajaa, wamehama kwao kwenda kutafuta maisha na wameweza wanawasokomezea maporini wwao wanaishi mjini, vijijini kwao mijumba ya kutisha.
Kwa ushauri tu dec 20-24 nenda segera na KIA uone mafuriko ya magari yakielekea uchagani utapata jibu
 
Back
Top Bottom