Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Upuuzi wa suala la UKABILA sio wa kufumbia macho. Kama ulivyo UBAGUZI wa aina yoyote ile ni JANGA. Mifano ni mingi. Nchini kwetu wenye asili ya kuzaliwa popote pale wana uhuru wa kikatiba kuishi popote pale nchini. So far so good. Kemeeni UPUUZI
 
Ndugu wana JF malalamiko ni mengi kuhusu mnyeti kuvurushana na Wachagga huko Manyara.

Ikumbukwe Mnyeti hajafuta tu umoja wa wachagga isipokuwa vikundi vyote vya kikabila mkoani humo.

Ajabu wachagga wanapiga kelele pekee yao sijasikia Waha wala Wanyakyusa wakipiga kelele ila kwa Wachagga too much!

Je tuamini target ya Mnyeti ni Wachagga pekee? Wote tu natambua waasisi wa umoja wa kikabila kila mahali wawapo ni Wachagga.
 
Wanasiasa.
tapatalk_1573980728131.jpeg
 
Miiku,

Hivi Mnyeti una akili gani wewe kichwani mwako jana umeacha umekunya hadharani na leo wewe mwenyewe umekuja kuyazoa saa si tukueleweje RC
 
Kwani Dr Mashinji anasemaje?!
unapaswa kujua namna ya kutetea hoja zako za kishamba unazozileta humu , vinginevyo utapuuzwa , unaweza kuwa shabiki maandazi wa ccm ili ujifurahishe au ulipwe lakini nakuhakikishia kwamba huyafahamu ya gizani yaliyopangwa dhidi ya wachaga , ni bora ukae kimya tu .
 
Uchagani pangekuwa pameendelea mngebaki huko huko migombani kwenye umande mwingi na udongo wa mfinyanzi wa kuteleza mkaishi kama nyani lakini mmekimbilia mikoa ya watu na kuuacha mkoa wenu kuwa mahali pa kwenda kuzikwa tu na si pa kuishi. Kwa ufupi Kilimanjaro ni makaburini tu kama ilivyo Kinondoni makaburini hakuna tofauti.
Manyang'ao na hasira zenu kwa kabila la wachaga mtaishia kujitekenya wenyewe baada ya wachaga kuwa hawana mda na mianawake mijinga
 
Hayo ni mawazo yako mufilisi!
Huyu mnyeti na chama chake wamefilisika ki mawazo na kisiasa.

Hao anaowakataza kukutana,hajui hata ni sababu gani inayowafanya wakutane.
Sababu kuu ni kuchangia mambo ya misiba,harusi,na kuchangia makanisa ama shule walikotoka.

Asichojua ni kwamba,watu ukiwabana sana na kwa hoja za kipumbavu kama zake,basi hawawezi kuona sababu ya kuwa na serikali kandamizi kama hii.
Mwishowe watu watatafuta njia ya kuiondoa serikali ili waweze kujipangia mipango yao bila bighudha.
Muda utaamua,na si muda mrefu
 
unapaswa kujua namna ya kutetea hoja zako za kishamba unazozileta humu , vinginevyo utapuuzwa , unaweza kuwa shabiki maandazi wa ccm ili ujifurahishe au ulipwe lakini nakuhakikishia kwamba huyafahamu ya gizani yaliyopangwa dhidi ya wachaga , ni bora ukae kimya tu .
Mbona umekasirika ghafla bwashee?........ Hilo banda lenu hapo Ufipa ni la msukuma ndio maana sisi wenzio tunakemea ukabila ili mr wako Sugu ashinde kwa kishindo!
 
cha ajabu mnakatazwa kuonana live mnahamishia kuonana whats up group so cjui atakuwa kafanya nini
 
Sijajua nia ya mnyeti lakin kwa kauli zake ajue kwamba analeta utengano na sii umoja. Hawa wakuu wa mikoa wawe wanafanyiwa vetting.. wasiwe wanapewa hiko cheo kisiasa.. ndio maana wanadharau nafasi walizonazo
 
Mnyeti anatamani aamke kesho akute hakuna mkoa wa Kilimanjaro wala wakazi wake hawapo kbs duniani.
Ipo siku wanakilimanjaro watamfadhili yeye na familia yake ndipo atakapojuw kuwa chuki ni mbaya
Angekuwa ameelimika angeelewa hayo
 
Alio yafanya Mnyeti yanamaono ya kisiasa zaidi kuliko maendeleo. Hii inajionyesha pale uchumi unapotumikia siasa kuliko siasa inavyotumikIa Uchumi. Kuna wakati tulivyunja vyama vyote vya ushirika ili kupunguza kasi ya KNCU na KCU na kuvijenga vyama vyenye siasa zaidi kuliko ushirka matokeo yake kila mtu aliyaona.

Watu wanatamaduni tofauti, kwa wachaga moja ya tamaduni yao wanazozienzi ni kurudi nyumbani siku za mwisho wa mwaka, Kusafirisha maiti wao pale msiba unapotokea. unapopiga marufuku vyama vyao utawasaidia kusafirisha kipindi cha msiba?

Tufike mahali tuache kutunga sheria na amri zenye makatazo ambayo haboreshi maisha ya watu wetu. kiongozi wa kweli awe yule anaeboresha na sio kutoa amri zisizo na tija kwa wananchi
 
Back
Top Bottom