LGE2024 Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
4R, mitano tena
 
Itafika kipindi MTU anaweza kukupiga risasi mchana kweupe na hakuna kitu utafanya..nchi imeshakufa hii kama Mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 75 alitekwa kwenye bus na akauawa itandikana kwenye uchaguzi?
 
Huko si ndio Kuna Yule Mbunge rafiki yake na Zoka?
 
Uenyekiti tu mpaka bastola, mwakani urais, ubunge na udiwani si watu watapigana ma RPG
 
Anguko lao limefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…