LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tatizo una genye ukipata bwana wa kuku.... vizuri hata ufikiriaji wako utakuwa sawia

. Kondoo msiowajua baba zenu hamjifichi, hata nkitiwa ndani ya chupa mtabinjuka na kuweka vinyeleo mdomoni.
 
Risasi ina maksudi sana, inapgwa juu na hatimaye katika kutua kwake ktk wafuasi wote inamchagua mgombea tu.
 
tangu lini chadema wakavamia vikao vya ccm kuhusu muda polisi wamesema ni saa tano usiku na kuhusu polisi kupigwa mawe kwanza hao raia wamepata wapi mawe kuwapiga polisi tena wakiwa ndani ya nyumba hiyo saa tano usiku.!
 
Aiseee....... askari wetu wanashida sana ya kuelewa mipaka yao ya kazi,hapo walimtuma tayari wamemuachia msala
 
Risasi zimepigwa hewani,Ila imemuuwa mmoja yaani uchunguzi Gani apo mnataka kufanya
 
Nijuavyo ni kuwa gereza liko Manyoni mjini,Kijichi cha mkwese kipo umbali wa KM 14 kutoka Manyoni mjini, inawezekanaje askari magereza kwenda kutuliza fujo umbali wa 14km?
Ndo ushangae ,Wanadhani wote nyie ni watoto
 
Bw. Nyani amekamatwa na Nyani wenzake. Hakuna kitakachotokea hapa.
 
tangu lini chadema wakavamia vikao vya ccm kuhusu muda polisi wamesema ni saa tano usiku na kuhusu polisi kupigwa mawe kwanza hao raia wamepata wapi mawe kuwapiga polisi tena wakiwa ndani ya nyumba hiyo saa tano usiku.!
Rais: Mama mkwe, Waziri TAMISEMI: Mkwilima! Mission complished!
 
Sijaona sehemu ya taarifa ikitaja jina wala cheo cha askari anayeshikiliwa kwa kusababisha mauji.
INASIKITISHA WEREDI WA POLISI.
IFIKE MAHALA ENTRY QUALIFICATION YA POLISI IWE NI DIPLOMA AU DEGREE YA SHERIA AU HATA UALIMU!!
Unadhani hawajui kuwa wanachokifanya ni unprofessional?? Kwa nchi yetu ilipofikia hata kigezo Cha kuajiliwa polisi kikiwa ni PhD Bado tarajia report za namna hii hiii.

Shida ni kwamba Hawa mapolisi wanatumika na ukikataa kutumia kazi huna .sasa wengi hawako tayari kukosa kazi, wamechagua kuwa mateka wa CCM ili maisha yaende hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…