Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

Nimejikuta nacheka sana, uyo shemeji yetu naona amekuchunguza kimya kimya kaona hajapata anachokitafuta sasa akaona akuchane makavu sijajua nia yake akimbaini mke mwenza nini anataka afanye kikubwa hapo kuwa makini mkuu
 
Hongera sana anatamani amuone

Wewe muwahi tafuta pisi kali liset lihonge mvizie anaenda chachi kaa nalo kimtego hahahahah

Utakuja kushukuru aisee
 
Hii comment yako haieleweki kama we ni ke hau me
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Bujibuji hata sikuelewagi jamani, kwani yule mganga alishindwa kumuonyesha? Sasa hivi amehamia kwenye maombi. Kweli wifi yetu ni vuguvugu leo kwa mganga kesho anafunga maombi

Mwonyeshe tu huyo mwanamke ili aridhike sasa unamficha nini
 
Mkeo kama yeye sio shetani, atakuwa amezaliwa na shetani!
 
Ila Bujibuji hata sikuelewagi jamani, kwani yule mganga alishindwa kumuonyesha? Sasa hivi amehamia kwenye maombi. Kweli wifi yetu ni vuguvugu leo kwa mganga kesho anafunga maombi

Mwonyeshe tu huyo mwanamke ili aridhike sasa unamficha nini
Ni kawaida ya wanawake, Wana maji ya upako, mafuta ya upako, chumvi ya upako, chupi ya upako kwa wanaotaka kuolewa au kupata watoto zaidi ya hayo yote, unawakuta wamejipanga mstari kwa Mshana Jr
 
Hahahah anatamani uchepuke trust me....

Mi mke wangu siku moja katika story story aliniambia yaani mi ningekuwa mwanaume ningewagonga htr[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Deep down wanapenda mwanaume mwenye wanawake wengi huu ni upuuzi ambao hata mimi toka nimewajua wanawake sijawahi kuulewa una maana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…