Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

Kwa maombi hayo ni lazma tu atamjua mchepuko wako kuwa ni nyeto a.k.a mzee wa kujichukulia Sheria mkononi
 
We acha tu..nilikuwa bado naogopa ogopa si unajua tena. Nilivyofika form one nikanasa kwa mwamba mmoja hivi

Daah ila ulijitahidi. Mi kuna moja nimeisambaratisha juzikati dem kamaliza nayo hadi masters aisee nilimshangaa sana. Ila alilia sana akasema hakutegemea kama itakuja kutolewa na bazazi kama mimi
 
Zile thread zako za Uchawi umeona uachane nazo umehamia upande wa pili?!!.
 
Daah ila ulijitahidi. Mi kuna moja nimeisambaratisha juzikati dem kamaliza nayo hadi masters aisee nilimshangaa sana. Ila alilia sana akasema hakutegemea kama itakuja kutolewa na bazazi kama mimi
Hongera sana bazazi
 
Umenichekesha sana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachek kama vile ni mazuri, kumbe hii iko sehemu nyingi, nilidhani ni kwangu pekee kumbe dah

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabsa mkuu...namshauri aufanyie kazi ushauri wetu kabla mkewe hajanogewa na mchezo.
 
Akili inayoongelewa kwenye Bible ni hela, nyumba kali na gari ya maana. Unavyo? Kama huna, Basi wewe😴🤯🤕
😅😃 bila shaka wachungaji wanatumia mstari huo vizuri...

Naamini mchungaji wa kanisa analosali mkeo hvyo vtu kwake sio shida....hvyo jipange mkuu
 
Mbona rahisi tu,ukiona akakupigia kelele muda huo huo mvutie kitandani tu hapo,mpe full doze ataacha kukusumbua........ Inawezekana unampa muda mrefu sana wa kupumzika mpaka anahisi unamchepuko.....muoverdose ataacha kukusumbua
 

Mkuu Bujibuji kwanza nikupongeze kwa mke mwema. Mimi nadhani mke wako anachohitaji "Mind set" ili aweze kuamini kwamba wanaume waaminifu kama wewe wapo. Jaribu kuongea naye na ikiwezekana kuuangana naye katika maombi ili aanze kukuona wewe kama muumini mwenzake na sio mume tu. Mimi ninaamini kama anaomba " with right Motive" Mungu atampatia majibu sahihi ya dukuduku lake.

Ahsante
 
Maombi ni utamaduni wa kizungu, afuate ushauri wa wazee wa mila, wakifanya tambiko la kiafrika atapata jibu
 
Hizi dini zinatakiwa ziwe za wastani tu. Wake zetu na mama zetu wamechotwa sana akili. Siku nikipata mwanamke mwenye akili kama hizi naenda kumuacha huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…