Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

Niliwahi kuambiwa shida unapokua hujamuoa na kuanza kulala nae na kuamka nae lazima ikuletee shida, picha linaanza kalala umeamka asubuhi unakuta ana miudenda mdomoni kibao sura haina make-up tena imekua km kikaragosi..

unaanza kujiuliza hivi huyu ndio yule yule niliekua namuona mzuri na mrembo au nimepotea njia kumbe ndio libaya hivi km nimelala na jini..

hapo mwanaume haitachukua siku 2 anaanza kutengeneza michepuko
 
Back
Top Bottom