Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwamba Rais hawezi kumdhibiti? Mbona Magufuli alimdibiti?Yaani Kinana ndo unamshtakia Kwa Samia 😀🤣 Haya sasa ni MaBig(Makubwa)
Bora umshtakie kwa muumba tu
Rais yupi huyo wa kumchunguza Kinana?Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa.
Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo viongozi kufanya uwekezaji la hasha, tunachokataa ni janja janja kwenye mali za nchi.
Rais tafadhali sana, mchunguze mzee Kinana, tena mchunguze haswa. Ahsanteni.
Wanawaza sare wataweza nch2025 kuliko ccm iendelee kuongoza Bora jeshi lichukue kijiti [emoji3061]
Bado unang'ang'ania sare zao mkuu, rudisha haraka. Jeshi letu ni namba 6 kwa ubora duniani.Wanawaza sare wataweza nch
Najua kutoka mwishoBado unang'ang'ania sare zao mkuu, rudisha haraka. Jeshi letu ni namba 6 kwa ubora duniani.
Acha utani basi, kwahiyo kamanda alipitiwa?Najua kutoka mwisho
[emoji1787][emoji1787]Bado unang'ang'ania sare zao mkuu, rudisha haraka. Jeshi letu ni namba 6 kwa ubora duniani.
[emoji1787][emoji1787]Nasikia huyo anaijua dental formula ya Tembo hatari