Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa.
Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo viongozi kufanya uwekezaji la hasha, tunachokataa ni janja janja kwenye mali za nchi.
Rais tafadhali sana, mchunguze mzee Kinana, tena mchunguze haswa. Ahsanteni.