wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Kama hajakipenda si anaacha tu akalime ? huo ni utumishi wa umma lakini kama anachukulia kama ulaji basi ataona kashushwa.Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Hawa viongozi wa Tanzania wamezidisha Recycling mpaka inakuwa obsolete. System ya serikali miaka nenda rudi ina recycle watu walelwale walioharibu miaka ya nyuma. Ni vema wakaibuliwa watu wapya wenye mawazona mtazamo mpyaIfike mahali tuseme basi inatosha hata hicho alichokipata ni bahati tu kwani hakuna watu wenye uwezo wa kiutawala kuliko yeye?
Hata angewekwa pembeni kabisa sawa tu.
There are up and down movements in our life,so usishangae Sana,Kuna watu wamebarikiwa kupanda tu lakini pia Kuna watu wa up and down,down and up movements.Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Ungeijua Shinyanga ilivyo na madili wala usingeandika haya. Barrick Bulyanhulu ndani ya Shinyanga,Buzwangi Barrick Shinyanga na Mwandui Diamond ShinyangaDkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Hii sentensi yako ya mwisho mkuu inamaana sana ubarikiwe sana.Hawa viongozi wa Tanzania wamezidisha Recycling mpaka inakuwa obsolete. System ya serikali miaka nenda rudi ina recycle watu walelwale walioharibu miaka ya nyuma. Ni vema wakaibuliwa watu wapya wenye mawazona mtazamo mpya
Nadhani ni bora kuliko kukaa tu maana hatujui alikuwa kaajiriwa au yupo yupo tu. Ubalozi una muda wake. Miaka ikifika unarejeshwa. Na wanasiasa tunawajua kitumbua kikiota mchanga utawapenda wanavyochakaa.Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Huyu dada mwendazake Ndio alimsulubu kisa Lowasa timu na wakasikazini,Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Kama ni kudhalilishwa basi akatae uteuziDkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Kwa info...ni wife wake na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ZanzibarDkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
huyu naye sijui alifanya kosa gani pale, maana kashuka kwa speed ya light aisee...BASHIRU JE?
Katibu ccm,
Balozi,
Katibu mkuu kiongozi,
UBUNGE TENA VITI MAALUM,
Je alishushwa au
Alipanda?
Asee ungelikuwa karibu ungepata zawadi,Kama ni kudhalilishwa basi akatae uteuzi
You are correct. But who knows about tommorrow !? She might go on gaion to rise unexpectedly.Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Mbaya zaidi ukute anamzidi hiyo mkuu wake wa mkoa kwa umri!Aliisha kuwa Waziri hapo mipango pia!!! Hapo kwenye kuwa RAS mtamtesa sana , ingependeza kama mnamuhitaji sana awe hata mkuu wa mkoa!!! Inaelekea hao washauri wa mama hawasomi CV za watu wanaowapendekeza?
Kama wakina Adam Malima walitoka kwenye unaibu Waziri na kuwa wakuu wa mkoa kwanini huyu aliyekuwa waziri kamili asiwe RC? There has to be some consistency in these appointments.
Uvunjwe hauna faida yoyoteKuhusu Muungano ni kweli kuwa Muungano ulio sawa ni wa Serikali tatu tu. Kama tunakubaliana na huu wa sasa, hatuna namna ya kupinga haya yanayotokea.
Kwanini asikatae kama amedhalilishwa? si ajiajiri sababu tayari ana mtaji?You are correct. But who knows about tommorrow !? She might go on gaion to rise unexpectedly.