- Thread starter
- #101
Hapo kwenye hatua, ndo ulipo mtihani.Hakuna asiyejua kilichotokea hata rais anajua ndo maana hakutafanyika tathmini.
Cha maana ni kuchukua hatua kisirudiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye hatua, ndo ulipo mtihani.Hakuna asiyejua kilichotokea hata rais anajua ndo maana hakutafanyika tathmini.
Cha maana ni kuchukua hatua kisirudiwe.
sasa unadhani wataenda kuwaunga mkono manyumbuccm ina elite capture syndromes... Kuna familia zinakaa na kuamua nini kifanyike na nini kisifanyike!
Wengine wote ni machawa wao!
Unamaanisha Lowassa, Summaye waliwahi kuwa manyumbu?sasa unadhani wataenda kuwaunga mkono manyumbu
manyumbu huwa ni kundi kubwa lenye fujo halijali hatari ya mbele sasa kama ni mtu moja au wawili wanaeezakua nyumbu bas ni nyumbu tu vilevileUnamaanisha Lowassa, Summaye waliwahi kuwa manyumbu?
Heshimu wazee wako wa chama chako, upinzani Si uadui!!
Kimsingi Katiba mpya ni kitabu tu kama vilivyo vingine. Malalamiko ya sasa sio kuwa katiba hii ni mbovu sana na kwamba watawala inawabeba, malalamiko ni kuwa watawala hawaheshimu katiba iliyopo hata kama ni mbovu. Usitegemee watu hao kuheshimu katiba mpya, wataona ni kitabu tu cha watawaliwaIkiwa hayo ndo mawazo Yako,
Ungana na Wazalendo Tarehe 9 Nov, kupinga uchaguzi usifanyike ikiwa hapatakuwa na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya.
KATIBA ya nchi Si kitabu kama vitabu vingine.Kimsingi Katiba mpya ni kitabu tu kama vilivyo vingine. Malalamiko ya sasa sio kuwa katiba hii ni mbovu sana na kwamba watawala inawabeba, malalamiko ni kuwa watawala hawaheshimu katiba iliyopo hata kama ni mbovu. Usitegemee watu hao kuheshimu katiba mpya, wataona ni kitabu tu cha watawaliwa
Uchafuzi wa 2020 ulibarikiwa au tuseme ulitokana na katiba hii mbovu?KATIBA ya nchi Si kitabu kama vitabu vingine.
Na Kwa kulifahamu Hilo ndomana hatuombi Katiba mpya kama zawadi,
Tunawalazimisha.
KATIBA mbovu.Uchafuzi wa 2020 ulibarikiwa au tuseme ulitokana na katiba hii mbovu?
Wapi katiba imesema mawakala wa vyama vya upinzani hawaruhusiwi kusimamia kura za mgombea wa chama chao? Wapi katiba imesemwa wafuasi wa vyama vya upinzani wakatwe mapanga??KATIBA mbovu.
Hapo Ubovu wa KATIBA hii ni ukubwa wa madaraka ya Rais.Wapi katiba imesema mawakala wa vyama vya upinzani hawaruhusiwi kusimamia kura za mgombea wa chama chao? Wapi katiba imesemwa wafuasi wa vyama vya upinzani wakatwe mapanga??
Niamini mkuu, ubovu si katiba, iwe mpya au ya zamani. Ubovu upo kwa wananchi, hawajui kudai haki zao, imani yao ipo kwenye katiba mpya.Hapo Ubovu wa KATIBA hii ni ukubwa wa madaraka ya Rais.
Anaweza kufanya zaidi ya yalofanyika 2020 na asifanywe chochote.
Rejea alifanya konda na Sabaya, akishamtaja tu aliye juu, hamna kesi.
Unarudi pale pale tatizo ni Madaraka makubwa ya Rais,Niamini mkuu, ubovu si katiba, iwe mpya au ya zamani. Ubovu upo kwa wananchi, hawajui kudai haki zao, imani yao ipo kwenye katiba mpya.
Watawala wameshajua kuwa hata wakivunja katiba hakuna anayewagusa. Hata ikija mpya wataivunja tu kwa kuwa wao katiba haiwababaishi kitu.
Wakati mwingine hata viongozi wa upinzani unaona wanafurahia katiba inapovunjwa ili mradi imevunjwa kwa faida yao. Mfano, Lissu alipolipwa mafao na pesa za matibabu na Rais SSH alipaswa kuhoji kuwa Rais amepata wapi mamlaka ya kumlipa fedha yeye ilhali haipo kwenye bajeti. Pia angehoji kwa nini wabunge wawili walipwe fedha za jimbo moja.. yaani Ikungi ilikuwa na wabunge wawili??
FAM alipoachiwa kwenye kesi ya ugaidi alipaswa kuhoji kuwa inakuwaje Rais anaingilia kesi zilizopo mahakamani?
Hapo si ndio unapoona kuwa katiba mpya hata ikija itakua kitabu tu..watawala hawatakifuata na wananchi watakaa kimya
Mkuu, Rais hana madaraka hayo hata kwa katiba hii mbovu. Mambo hayo yamefanywa kinyume na katiba. Hata JPM alinunua ndege kinyume cha katiba, manunuzi hayakupita bungeni..Unarudi pale pale tatizo ni Madaraka makubwa ya Rais,
Mifumo yote ya nchi imewekwa kutengeneza ruling yake.
Kuhoji mamlaka ya Rais Alipewa kikatiba ni kupoteza muda.
Ndomana tunadai Katiba mpya Ili tumpunguzie Rais mamlaka sababu mengi yanakwama ajili yake.
Ajabu ni kwamba watu wanang'ang'ania na kuitaja Katiba kana kwamba hati hiyo mbovu iliyopo viongozi waliyo apa kuilinda hawaitambui.Mkuu, Rais hana madaraka hayo hata kwa katiba hii mbovu. Mambo hayo yamefanywa kinyume na katiba. Hata JPM alinunua ndege kinyume cha katiba, manunuzi hayakupita bungeni..
Hapo hakutumia madaraka yoyote ya kikatiba, hivyo hatuwezi kusema katiba imempa Rais madaraka makubwa wakati anayoyafanya hayapo kikatiba. Tatizo hapo sio katiba bali mtawala
Unasemaje, mkuu 'Rabbon'; mbona hata hukunielekeza pa kuanzia?
Warioba kisha jibiwa na kilaza Bashite, aende kuwalea wajukuu.Mzee Warioba amejaribu kuongea jambo zito Kwa Ulimi wa BUSARA kubwa sana kuisaidia Serikali na chama chake kuwa makini na uchaguzi ujao ili jambo muhimu la Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi lizingatiwe kabla ya kuingia uchaguzi wowote ujao.
Nilihitaji upitie hizi huu Ili kuangazia baadhi ya mambo muhimu katika kumshauri Lissu na CDM kushiriki au kutoshiriki uchaguzi bila Tume huru na Katiba mpya.Ajabu ni kwamba watu wanang'ang'ania na kuitaja Katiba kana kwamba hati hiyo mbovu iliyopo viongozi waliyo apa kuilinda hawaitambui.
Wanaaita "kijitabu" wasikokuwa na wajibu wowote wa kukaheshimu. Halafu, wakati hupo huo wanahimiza wananchi wapate elimu ya miaka mitatu, kuhusu "kakijitabu" wasiko kaheshimu wao..
Unasemaje, mkuu 'Rabbon'; mbona hata hukunielekeza pa kuanzia?
Zanzibar wamewahi jaribu Kwa njia ngumu zaidi ya hizi za kwetu katika chaguzi zao lakini wakaendelea kupotea Ushindi Kwa mabavu.Warioba kisha jibiwa na kilaza Bashite, aende kuwalea wajukuu.
Mkuu 'Rabbon' kweli upo tayari kusubiri miaka mitatu au zaidi kabla ya uchaguzi haujafanyika?
Hili la Katiba Mpya, CCM wamekwisha malizana nalo kitambo sana, sasa sijui kwa nini watu, akiwemo Warioba na wewe hapo mkuu 'Rabbon' hawataki kuwaelewa.
Kinacho wezekana kwa sasa hivi, tena kwa utashi wao CCM ni kufanya maigizo ya kurekebisha sheria za uchaguzi, ikiwemo hilo la Tume (HURU?) ya Uchaguzi. Ni Bunge la maigizo lililopo chini ya CCM, ndilo litakalo fanya kazi hiyo.
Maoni yangu ni kuwa, acha CCM na viongozi wao wafanyemaigizo yote wanayoweza kuyafanya, lakini inapokuja kwenye uchaguzi utakaokuja katika mazingira yoyote yale, wananchi wakiwa wameandaliwa vizuri, CCM hatafurukuta tena.
Kazi sasa ipo hapo, pa kufanya kazi na wananchi hao; kuwaelimisha na kuwapanga vizuri kuzuia uhalifu toka CCM.