matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.