Kutokuwa na ardhi sio kigezo cha kufa masikini na pia kununua ardhi haimaanishi ndio umeshawin maisha.
Kama mtu hana watoto hana mke na hana mpango wa kuoa, anaweza kuishi maisha yake vizuri sana hata nje ya nchi akila bata kama hamna kufa vile. After all ndio kitu tunachokipigania (kula, kunywa, kuvaa na matibabu).
Ardhi sijui majumba, kama hayatumiki kuzalisha money ni bure tuu zaidi sana utakufa uachie watu urithi, huku kilichokuua ni vidonda vya tumbo kwa kujibana usile ili ujenge na kununua ardhi ili USIFE masikini.