Dogo nunua wewe tuishi wote.
hata VX ukiwa hujui ni nini haina ishu saana.
ndio maana almasi mwadui walikuwa wanachezea usoro na bao leo inatafutwa mji mzima ni mashimo.
chekecha kichwa huko handeni mbwana.... acha hizo😎😎😎
Eka 20,000 mm nilinunua
Tutaishi tuu[emoji13][emoji13][emoji13]Tutaishije kwenye kipande cha ardhi?
Ha haaaa,dah Mkuu umenikumbusha ile clip. Mshkaji anasema anamiliki uwanja wa taifa.Kwani uwanja wa taifa umeuhesabia?
Naunga mkono hoja yako Mkuu,viwanja havijawahi kuisha ndio maana hata Posta kila leo mabati yanazungushwa ujenzi unaendelea. Ukiwa na pesa hata gorofa ni kiwanja unavunja unaset plan zako maisha yanaendelea. Shida yetu wengi tunatafsiri utajiri kama umiliki. Utajiri ni mfumo unaojengwa kwa ajili ya kuwekeza na kumaintain assets zako kwa malengo ya kuingiza faida kwa muda mrefu ujao. Ni kuhakikisha kesho inakukuta na kukuacha uko well off.unanunua kiwaja 5milioni kisemvule huko halafu unatumia miaka 20kujenga.. Sasa hiyo 5milioni kwanini usiingie nayo mtaani ukapambana mwanzo mwisho kwa miaka 20 halafu baada ya hapo umuhamishe mtu mikocheni/kawe beach/ununio/ au hata Goba basi.
Akili za kukimbilia kuzika hela ardhini kwa kujidanganya unamiliki asset basi Watanzania wengi sana wangekuwa matajiri, Wahindi wapo mjini miaka nenda rudi wanatafuta hela na ukizisachi account zao unakutana na mamilioni yenye uwezo wa kununua nyumba popote pale na walivyowajanja bado hawajenga hapa wananunua nyumba Canada/London na wengine sikuhizi wananunua apartments Dubai wanapangisha..
Tuache akili za kijamaa tunaishi dunia ya mabepari na ubepari. Eti unamiliki asset ambayo umetumia miaka 20 kuitafuta wakati mwenzako anamiliki investments ambazo faida yake inamuweka kwenye hekalu ambalo anaweza kujenga in 2month.
Tuache maisha ya kurithi,uoga na akili za kijamaa aisee, tujikite kwenye kupambana na kuongeza mapato yako maradufu ili watoto wasije kurithi nyumba baadala yake warithi biashara na usimamizi wake hili ndilo lenye msaada kwao,, Kariakoo pale vijana wengi wameachiwa urithi wa vibanda ambavyo wameishia kuviuza kwa wakinga/waarabu/wachaga na mwisho wa siku waliowengi wamebaki masikini maana hawakuwa na akili wala elimu ya kumiliki na kuzungusha hela..
Mbona huna sasa?"Nchi za kimasikini"[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unadhan kijana wa kiarabu wa 24-30 priority yake ni ardhi??au kijana wa Denmark awaze ardhi ya 10m??ebu kua serious kidogo mkuu,nkienda apo Kisarawe napata kiwanja cha 100k-300k kikubwa tu!!
Ukiwa na kiwanja kinakuzuia kuwa na pesa?Naunga mkono hoja yako Mkuu,viwanja havijawahi kuisha ndio maana hata Posta kila leo mabati yanazungushwa ujenzi unaendelea. Ukiwa na pesa hata gorofa ni kiwanja unavunja unaset plan zako maisha yanaendelea. Shida yetu wengi tunatafsiri utajiri kama umiliki. Utajiri ni mfumo unaojengwa kwa ajili ya kuwekeza na kumaintain assets zako kwa malengo ya kuingiza faida kwa muda mrefu ujao. Ni kuhakikisha kesho inakukuta na kukuacha uko well off.
Kiwanja ulichonunua mil5 Kisemvule kinakuzuia kutafuta hela?unanunua kiwaja 5milioni kisemvule huko halafu unatumia miaka 20kujenga.. Sasa hiyo 5milioni kwanini usiingie nayo mtaani ukapambana mwanzo mwisho kwa miaka 20 halafu baada ya hapo umuhamishe mtu mikocheni/kawe beach/ununio/ au hata Goba basi.
Akili za kukimbilia kuzika hela ardhini kwa kujidanganya unamiliki asset basi Watanzania wengi sana wangekuwa matajiri, Wahindi wapo mjini miaka nenda rudi wanatafuta hela na ukizisachi account zao unakutana na mamilioni yenye uwezo wa kununua nyumba popote pale na walivyowajanja bado hawajenga hapa wananunua nyumba Canada/London na wengine sikuhizi wananunua apartments Dubai wanapangisha..
Tuache akili za kijamaa tunaishi dunia ya mabepari na ubepari. Eti unamiliki asset ambayo umetumia miaka 20 kuitafuta wakati mwenzako anamiliki investments ambazo faida yake inamuweka kwenye hekalu ambalo anaweza kujenga in 2month.
Tuache maisha ya kurithi,uoga na akili za kijamaa aisee, tujikite kwenye kupambana na kuongeza mapato yako maradufu ili watoto wasije kurithi nyumba baadala yake warithi biashara na usimamizi wake hili ndilo lenye msaada kwao,, Kariakoo pale vijana wengi wameachiwa urithi wa vibanda ambavyo wameishia kuviuza kwa wakinga/waarabu/wachaga na mwisho wa siku waliowengi wamebaki masikini maana hawakuwa na akili wala elimu ya kumiliki na kuzungusha hela..
Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
Kiwanja ulichonunua mil5 Kisemvule kinakuzuia kutafuta hela?
Katiba ya nchi imekaa kimya hapaIli Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
Tutaishi tuu[emoji13][emoji13][emoji13]
Nitakuelekeza.