gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,943
- 6,144
Wapi nimesema hivyo?Ukiwa na kiwanja kinakuzuia kuwa na pesa?
Kama umesoma vizuri comment yangu,nimezungumzia utajiri kama mfumo yaani pesa,viwanja na asset zingine zikiwa ndani ya huo mfumo.
Wapi nimesema hivyo?Ukiwa na kiwanja kinakuzuia kuwa na pesa?
Hii ilitokea kwa jamaa zangu walikuwa wamejilimbikizia vitalu vya madini,sheria ilipobadilika waliviachia huku waliwekeza pesa nyingi kuvimiliki. Kujirundikia mataka taka bila kuwa na mpango kazi huwa nasema ni hofu ya kizembe isiyo na guarantee ya kukunufaisha.Ngoja siku kodi ya ardhi ikiwa kubwa mtayakimbia hayo mashamba yenu
acha uoga ndugu... 'time making ability'Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
Mbona huna sasa?
Eeh Mkuu... Jamaa naona anasubiri hati sasa ndio kelele zote hiziKama ulijua ndio kelele zote hiz!
Big up dada njo unywe sodaKutokuwa na ardhi sio kigezo cha kufa masikini na pia kununua ardhi haimaanishi ndio umeshawin maisha.
Kama mtu hana watoto hana mke na hana mpango wa kuoa, anaweza kuishi maisha yake vizuri sana hata nje ya nchi akila bata kama hamna kufa vile. After all ndio kitu tunachokipigania (kula, kunywa, kuvaa na matibabu).
Ardhi sijui majumba, kama hayatumiki kuzalisha money ni bure tuu zaidi sana utakufa uachie watu urithi, huku kilichokuua ni vidonda vya tumbo kwa kujibana usile ili ujenge na kununua ardhi ili USIFE masikini.
HaaaaaahaaaaaEeh Mkuu... Jamaa naona anasubiri hati sasa ndio kelele zote hizi
Kuwa na adabu we mtoto mimi nishapita huko nasubiri kufa tu saa hz nakula pensheni!😀😀😀 tafuta ardhi dogo.
kitanda na godoro unaviweka kwenye kiota au juu ya mtiHakuna ukweli hapa,angalau ungesema 25 kijana hata huna kitanda angalau kidogooo ingeleta maana.
shkamoo mkuu BabaKuwa na adabu we mtoto mimi nishapita huko nasubiri kufa tu saa hz nakula pensheni!
Kama ni ardhi hapo handeni heka moja ni laki mbili.
Sio ishu sanaaaaa ardhi.
FactKutokuwa na ardhi sio kigezo cha kufa masikini na pia kununua ardhi haimaanishi ndio umeshawin maisha.
Kama mtu hana watoto hana mke na hana mpango wa kuoa, anaweza kuishi maisha yake vizuri sana hata nje ya nchi akila bata kama hamna kufa vile. After all ndio kitu tunachokipigania (kula, kunywa, kuvaa na matibabu).
Ardhi sijui majumba, kama hayatumiki kuzalisha money ni bure tuu zaidi sana utakufa uachie watu urithi, huku kilichokuua ni vidonda vya tumbo kwa kujibana usile ili ujenge na kununua ardhi ili USIFE masikini.
Ukubwa gani?Ata kibiti nauza laki mbili na nusu tu ,unamiliki ardhi yako
hao wasubiri kugombania urithi.
Ila wanaweza kujirekebisha wakitaka wakapata ardhi kama wakiamua lakino.
lengo langu ni kuhamasisha under 25 wamiliki ardhi nchini kwao.
Haina faida nchi kuweka sera za kuzuia ardhi isikwapuiliwe na wakenya na malafi wa ardhi dunianinalafu huku vijana wanambwelambwela tu