Maoni: Kama una miaka 25+ na humiliki kipande chochote cha ardhi (hata 2*2) kuna uwezekano mkubwa kufa masikini

Maoni: Kama una miaka 25+ na humiliki kipande chochote cha ardhi (hata 2*2) kuna uwezekano mkubwa kufa masikini

vijana tujaribu kutembea sehemu mbali mbali tuone wenzetu navyo wanavyoishi...kuna elimu kubwa sana kwenye kusafiri kuliko hata io gedree ya DUCE....apa na wew unajiita msomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sikua nalijua hili mkuu..mie huwa mvivu sana kusafiri..ila imenifumbua macho sana!..unaona kbs ulikua umejifungia kwenye kijibox
 
Baby Doll, mbona unaongea kwa majitambo sana ?.hivi bata huwa zinaliwaje vile ?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Unadhani hata najua? Basi ni mtandaoni najikuta tuu najua bata na Mimi nisibaki nyuma.
 
Hahaha no; sijamaanisha ivo

Mimi na amini mtu anayefanya vyote hivo; ni ngumu Kukosa kijipesa cha kwenda hata mlandizi maeneo ya ngeta uko kuchukua kipande cha 500k _700k
Hivi nikinunua hiko kipande na sina hela ya kujenga si bure tu[emoji13][emoji13]mwisho wasiku kionekane kimetelekezwa kiuzwe tena[emoji13][emoji13].
 
wakuu 25 mjitahidi msisikilize wanaoleta ujuaji wa kuponda watu kumiliki ardhi
 
Kama ni ardhi hapo handeni heka moja ni laki mbili.
Sio ishu sanaaaaa ardhi.
hata VX ukiwa hujui ni nini haina ishu saana.
ndio maana almasi mwadui walikuwa wanachezea usoro na bao leo inatafutwa mji mzima ni mashimo.

chekecha kichwa huko handeni mbwana.... acha hizo😎😎😎
 
ardhi ni issue kwenu wabongo..huku dunian tulipo watu hawaangaiki na petty issues kama hizo.
Ardhi hapo ilipo kama ni ulaya au marekani sio petty issue kama ulivyo iita . Ni unthinkable issue, sababu ardhi yote ni mali ya watu tena walio wachache (mabwanyenye) na hawauzi kirahisi rahisi. Na hata wakiuza nani ana uwezo wa kununua. Only millionaires and billionaires can afford.
 
ukipata fursa ya kusafiri safiri sana,na si lazima nje ya nchi kama huna uwezo uo hata mikoani tu,ukitembea mikoa kama mi 3 hivi tofauti basi hakika hautobaki kama ulivyokuwa mwanzo!!
nakubari, ukisafiri unakuwa raia halali wa dunia, kukaa nchi moja unakiwa kama mgeni duniani tenaj mwenye mawazo finyu.

Ila Ukisafiri utagundua hiki ninachoandika ni somo la kwanza kujifunza kabla ya yote
 
Ardhi hapo ilipo kama ni ulaya au marekani sio petty issue kama ulivyo iita . Ni unthinkable issue, sababu ardhi yote ni mali ya watu tena walio wachache (mabwanyenye) na hawauzi kirahisi rahisi. Na hata wakiuza nani ana uwezo wa kununua. Only millionaires and billionaires can afford.

anataka hadi hayo yawe tanzania ndio aanze kufikiri. JPM amesaidia kurudisha nyuma hili ila nawaambia hawa vijana hawanielewi.

Ukiona wazungu wanakomaa na ishu nyingine na sio ardhi ni kwa sababu haipo au haipatikani kirahisi sasa leo anaibuka mndengereko anasema eti hatuna exposure ndio maaana tunasisitiza maardhi
 
Tusipangiane maisha kila mtu atafute kutokana na kile anachohitaji
 
Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.

Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.

Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
WOTE TUKIMILIKI ARDHI MBINGU ATAMILIKI NANI?
 
Kwani natembea hewani pale ninapokanyaga tayari ni Ardhi yangu maana hakuna anaenikataza nisikanyage nitamiliki vipi kitu sehemu ambayo nimeambiwa napita tu, Mungu hawezi kushangaa kwanini sina ardhi Duniani atashangaa na kunipa adhabu ntakapokua sina ardhi mbinguni
 
Back
Top Bottom