matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #61
hahaha da!!Hongera kwa kumaliza deni la kiwanja chako...
hahaha da!!Hongera kwa kumaliza deni la kiwanja chako...
Mshana Jr theolojia madamLife starts at 40
Yesu akija atakuja kubomoa kile ulichojenga ili akupe kipya alichokujengea huko mbinguni.WOTE TUKIMILIKI ARDHI MBINGU ATAMILIKI NANI?
Unakizungushia ukuta kama sheria inavyosema unakiaacha, kitakuwa kinapanda thamani chenyewe automatic.Hivi nikinunua hiko kipande na sina hela ya kujenga si bure tu[emoji13][emoji13]mwisho wasiku kionekane kimetelekezwa kiuzwe tena[emoji13][emoji13].
huu utukutu na ukorofi mkuu.Kwani natembea hewani pale ninapokanyaga tayari ni Ardhi yangu maana hakuna anaenikataza nisikanyage nitamiliki vipi kitu sehemu ambayo nimeambiwa napita tu, Mungu hawezi kushangaa kwanini sina ardhi Duniani atashangaa na kunipa adhabu ntakapokua sina ardhi mbinguni
Unaweza usimiliki ardhi na ukafa bonge la tajiri, nan kakwambia ukimiliki ardhi hutokufa maskini? watu wanamashamba na majumba wanakufa wanakuja kugombea mali mafala wengine tu ambao hata hukuwa nao close.. leo mali za Erasto Msuya mpaka mkuu wa wilaya anaingilia..Yesu akija atakuja kubomoa kile ulichojenga ili akupe kipya alichokujengea huko mbinguni.
Fanya faster mkuu, miliki ardhi, mchina anatoka shang'ai anamiliki kijijini huko ibadakuli wewe unatoka dar unashindwa kumiliki hata kiasarawe mzenga huko porini ambapo unaenda kwa daladala kwenda na kurudi.
tujiitahidi wakuu, inawezekana kabla ya miaka 25
Kwani uwanja wa taifa umeuhesabia?Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
aah! nikifa watanipa ardhi yangu, japo ni kadogo, na nitakuwa mwenye futi sita chini kuilinda
Kutokuwa na ardhi sio kigezo cha kufa masikini na pia kununua ardhi haimaanishi ndio umeshawin maisha.
Kama mtu hana watoto hana mke na hana mpango wa kuoa, anaweza kuishi maisha yake vizuri sana hata nje ya nchi akila bata kama hamna kufa vile. After all ndio kitu tunachokipigania (kula, kunywa, kuvaa na matibabu).
Ardhi sijui majumba, kama hayatumiki kuzalisha money ni bure tuu zaidi sana utakufa uachie watu urithi, huku kilichokuua ni vidonda vya tumbo kwa kujibana usile ili ujenge na kununua ardhi ili USIFE masikini.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]sina ardhi na hela pia sina.Huna ardhi wewe[emoji23]
Nimejaribu kujadili kwa mujibu wa maoni yako kuwa,kama una 25+ yrs na humiliki ardhi unaweza kufa masikini. Na katika maelezo yangu nimejaribu kueleza ni jinsi gani kwa hapa Tz ardhi haiakisi utajiri lkn pia utajiri ni suala mtambuka, unaweza kuwa na hiyo ardhi then huwezi kukidhi hata mahitaji ya chakula! Kwa maana nyepesi utabaki kuwa masikini tu. Kama unashauri watu wajitahidi kumiliki ardhi hilo ni jambo jingine mkuu.Sasahuoni kama unaniunga mkono hoja yangu.
Kama ardhi ni rahisi kuipata kihivyo, kwa nini tusianze kuimiliki kati ya miaka 18-25. Wakati tunaendelea kupqmbana na chakula na mavazi maana umri unaruhusu na ardhi ni bei che.
hii ni practical kwa tqnzania ambapo kuna ardhi bikra nyingi
Ngoja nimsisitize mchumba anunue ardhi[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Unakizungushia ukuta kama sheria inavyosema unakiaacha, kitakuwa kinapanda thamani chenyewe automatic.
Lakini mtoto wa kike hata usiponunua ardhi sawa tu;hahaha we si unakuta kila kitu umeandaliwa
Ili Mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi.
Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezekani Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
Hivi nikinunua hiko kipande na sina hela ya kujenga si bure tu[emoji13][emoji13]mwisho wasiku kionekane kimetelekezwa kiuzwe tena[emoji13][emoji13].
Unamaanisa ndama au ka ng'ombe kaliko kondeana?
Kwani kuwa na ardhi na kujenga ndio kipimo cha kuwa na maisha mazuri?
Me nadhani kuwin maisha ni vile una assets gani zinazo kuongezea kipato.
Dogo nunua wewe tuishi wote.Dogo nunua ardhi acha ubishi