matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mpaka 80Kama ni ardhi hapo handeni heka moja ni laki mbili.
Sio ishu sanaaaaa ardhi.
Ata kibiti nauza laki mbili na nusu tu ,unamiliki ardhi yakoKama ni ardhi hapo handeni heka moja ni laki mbili.
Sio ishu sanaaaaa ardhi.
Mpaka 80
""Kula, kunywa, vaa"( usisahau na ibada pia) kama pesa za matumizi aya yote zipo kwa nini usinunue kipande kidogo cha ardhi.Kutokuwa na ardhi sio kigezo cha kufa masikini na pia kununua ardhi haimaanishi ndio umeshawin maisha.
Kama mtu hana watoto hana mke na hana mpango wa kuoa, anaweza kuishi maisha yake vizuri sana hata nje ya nchi akila bata kama hamna kufa vile. After all ndio kitu tunachokipigania (kula, kunywa, kuvaa na matibabu).
Ardhi sijui majumba, kama hayatumiki kuzalisha money ni bure tuu zaidi sana utakufa uachie watu urithi, huku kilichokuua ni vidonda vya tumbo kwa kujibana usile ili ujenge na kununua ardhi ili USIFE masikini.
""Kula, kunywa, vaa"( usisahau na ibada pia) kama pesa za matumizi aya yote zipo kwa nini usinunue kipande kidogo cha ardhi.
Nilienda kukodisha mashambaNa ukiwa mgeni ukienda kwa VIONGOZI wa kijiji ukiwaambia huna sehemu ya kukaa unaambiwa toa elfu 10.
Unakatiwa robo heka.
Labda aseme uwe na 20×20 dar.
Ukiachana na ardhi aliyomilikishwa baba yako mama yako ana ekari ngapi yaani alizonunua au kumilikishwa na baba yake?Ili mtanzania aendelee pamoja na mengine anahitaji kipande cha ardhi. Bila kujali ni 1*1 au hekari 1000. Haiwezeksni Mungu akuumbie dunia umiliki lakini wewe huna. Leo Mungu akisema kila mmoja asimame kwake ukabaki unatangatanga atakuchapa bakora kwa uovu wa kutomiliki ardhi aliyokupa.
Wakuu tumiliki ardhi. Una uwezekano wa kufa masikini ikiwa katika umri wa 25 huna ardhi au huna mpango mkakati wa kumiliki ardhi.
Hahaha no; sijamaanisha ivoUnamaanisha nisile, nisivae vizuri niwe nadhifu nisitibiwe nikiugua ili ninunue ardhi?[emoji13][emoji13]