Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
mkuu tulia haya mambo yanaongeleka😁😁😁Wewe endelea kubanduliwa mwanaume , acha walioamua kutafuta vipato kwa njia halali wale kwa jasho lao wafurahie kidogo chao wanachopata.
Wewe ndio mpekwe ukishabanduliwa huko unabaki kuwa guilty dume zima hovyo kabisa
Ushauri mzuri kwake.Mkuu mara kadhaa nimekua nasoma jumbe na thread zako mbali mbali sometimes naingiwa na huruma ya kibinadamu maana hustle nazijua njaa naijua + msoto
NB
Toka kwenye Hilo Gerezani (Psych prison) shukuru Kwa hiyo degree ELIMU iwe ngao ya wew kuweza kupambana kutimiza ndoto zako inatakiwa saivi uwe umesha Anza kuwaza nini unataka maishani usipoteze muda kuwaza ualimu utapoteza muda.,
Ipo hivyo!! Walimu ni kama special group wanahitaji msaadaTuongee ukweli WALIMU WALIO CHINI YA HALMASHAURI WATAENDESHWA MPAKA MWISHO WA DUNIA.
#YNWA
Hao Wana posho za vikao huko halmashauri wanajiandikia tu pia Wana over time na extra duty.kwani tofauti ya walimu na ma afsa maendeleo wa jamii, afsa kilimo, wachumi huko halmashauri ni nini?
mbona scale zao za mshahara ni zilezile, ila anae kandiwa ni ticha tu??
Yah Ualimu ni wito LAKINI kwa MASKINI TUUUalimu sio AJIRA.
#YNWA
Haswaa. Wewe ndio upo sawa sasa.Mbona Leo kawasilisha poa sanaa bila matusi.
Kiukweli kabisaaaa ""UALIMU SIO KAZI""
Ni vile raia hawana option sasa WATAFANYAJE??
#YNWA
Kama ni ajira basi zile za kikoloni. Ila Ualimu ni kibarua tu cha kubangaiza ili ujitafute.NI kitu gan mkuu, na hiyo check number waipataje sasa kama sio ajira.
Jiulize hao viongozi why wamekimbia ualimuMbona walimu wanaheshimika sana kitaaa? Wewe unayewadharau ndo kinyaa! Wana kipato halali hawajaja kwako kukopa! Wanatufundishia watoto wetu! Mungu awabariki sana walimu wetu! Nyerere alikuwa mwalimu! Magufuli alikuwa mwalimu! Zaidi ya 50% ya viongozi wetu (mawaziri na wabunge) walipitia ualimu!
After how long??Wakati anapokea hiyo 40m ya kikokotoo kuna kundi kubwa la wanaoidharau hiyo kazi ya ualimu wanakuwa hawana hata laki moja mfukoni na wala hawana uhakika ni lini wataipata.
Wa shule za privateKuna mwalimu asiyechini ya halmashauri?
Hizi ndio akili za kimaskini hasa Walimu. Utaskia Bora Mimi Nina hata hiyo laki mbili.Wakati anapokea hiyo 40m ya kikokotoo kuna kundi kubwa la wanaoidharau hiyo kazi ya ualimu wanakuwa hawana hata laki moja mfukoni na wala hawana uhakika ni lini wataipata.
wanapataHivi mkuu mwalimu aliyeanza kazi mwaka huu mpaka anastaafu miaka 30 ijayo anaweza kupata mafao mil 200 kweli
Unaona walimu Hawa!!Umesema kweli kabisa Mpwayungu, hii kazi basi tu.
Ushauri mzuri sana. Bravo brotherKuwa mwalimu siyo kosa ila kila mtu pale alipo kwenye kazi anayofanya asiridhike kubaki nafasi hiyo hiyo tunatakiwa tufanye juhudi ndogo ndogo za kila siku ambazo siku moja zitatuweka nafasi nzuri nzuri zaid.
Hakuna kazi mbaya , kazi ni mbaya ukiwa nayo tu ila nje kuna watu wanatamani kuwa hapo ulipo.
Cha msingi kazi hiyo unayoiona ni mbaya itumie kama ngazi ya kupanda hatua nyingine iliyo bora zaid.
Na huwezi kuta watoto wao au ndugu zao wanakuwa walimu.Jiulize hao viongozi why wamekimbia ualimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moja ya kazi ya ndoto yangu kipindi niko ordinary huko...
Form 6 nilipopata ka One ka maana nikasema weeeh usinitanie[emoji23][emoji23]..... Nikachepukia kwingine kabisaa...