Walimu
Walimu sio viumbe vya kuhurumia hata na siku na moja hawa kwenye chaguzi ndo wanatumiwa na ccm kuiba kula za wapinzani acha ccm iendelee kuwaenyesha.
 
Usiseme ohh ualimu mgumu

Kujiunga fani ya ualimu iwe certificate, diploma au digrii wanaojiunga ni failures walioshindwa kusimoma kwa juhudi wapate division nzuri sekondari wanaolakamika ohh kazi ya ualimu ngumu kwani kusoma sekondari rahisi ? Mbona walipata pass za ajabu za chini mno kwa uvivu wao wa kusoma

Certificate, diploma na digrii za ualimu wanajiunga watu choka mbaya wavivu kusoma wenye pass mbaya sekondari

Akienda chuo malalamishi kibao akiajiriwa kelele kibao sababu culture ya uvivu na kujituma hajaanzia kwenye ajira kaanzia sekondari anakula bata tu halafu anategemea apate pass nzuri Akiajiriwa anataka mausha na bata shule watoto wanafeli hadi basi analilia serikali iboreshe mishahara nk wakati hana cga maana anachofanya shuleni zaidi ya kuzakusha failures

Niombe serikali ianze kupeleka wasomea ualimu division one tu waachabe na hao wapumbavu wa division 2 3 na 4 sekondari kuinua kiwango cha Elimu

Kama serikali ilivyofuta walimu wa UPE

Isidahili tena mtu kusomea ualimu aliyepata chini ya division one sekondari

Tuondokane na hawa wapumbafu secondary failures

Kipindi cha mkoloni best performers mitihani ya sekondari ndio walikuwa wakipewa kipaumbele kusomea ualimu

Sasa hivi best performers wamebaki chuo kikuu tu

Serikali irudishe upesi system ya zamani best performers division one waende ualimu hawa failures waende kuwa machines huko ili kunyanyua kiwango cha elimu

Haiwezekani kunyanyua kiwango cha elimu kwa kutegemea failures secondary walioenda vyuo vya ualimu as failures

Hapana.Wanadai mengi wakati wako hopeless delivery zero wafungishwe virago
 
Umewai kukopesha mikopo mkuuu na kudai mkuuu specifically MFI, hasa mikopo ya biashara mkuuu
 
Karibu Mpwayungu tulikumiss sana wape punch za kutosha walimu, siku hizi wamekuwa waharibifu wa wanafunzi.!!
Kuna mmoja jana kafikishwa mahakamani kwa kumlazimisha mwanafunzi amuingilie kinyume kinyume na wengine wanadanga na kutuma picha chafu..!!

Karibu kabali yao uwakande 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…