MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Nenda dar kariakoo kule ni kokoro utapata kila kitu.Fanya survey wiki uliza maduka zaidi ya kumi kisha fanya mlinganisho.Usiingie duka moja na kubeba mzigo utaumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vzr Kwakumuelewesha Akiingia Kichwa Kichwa Anaibiwa Mchana KweupeNenda dar kariakoo kule ni kokoro utapata kila kitu.Fanya survey wiki uliza maduka zaidi ya kumi kisha fanya mlinganisho.Usiingie duka moja na kubeba mzigo utaumia.
Wewe Beba Hela Zako Ila Zisiwe Kwenye Mkoba Maana Ukija Unawezakurudi Mtupu, Siku Utakayokuja Ndo Siku Hiyo Hiyo Utafanya Survey Au Kama Ni Mgeni Ntakutembeza Ila Siyo Bure BureNipo mkoani kwenda dar kufanya survey na kurudi c itanicost sna ndugu yangu, nilitamani nifahamu chimbo zao wanazo uza jumla ndo niende huko ili nipafanyie survey kujua wanauzaje ubora wake na aina za rasta
Kama rasta uende kiwanda cha darling..na weaving uende noble kama utataka za bei rahsi kama nywele og..china bebeMfano mtu ana mtaji 2M Tshs, anataka afungue duka la RASTA na WIVING.... anapenda kujua ni rasta na wiving za aina gani ambazo ni nzuri na quality na zipo kwenye trendd?
pia anauliza wapi hapa dar es salaam anaweza kupata mzigo wa jumla kwa bei rahisi?
Nenda maduka ya jumula jumla utapata hizo dazeniAsante mtoa mada. Naomba utupe ufafanuzi wa mahali pa kupata hizo dazeni kama ulivyoainisha hapo juu. Kama ni maduka ya jumla utuambie yalipo maana wengine tungependa kufanya biashara hii.
nielekeze maduka ya jumla ya wapi (mtaa gani)Nenda maduka ya jumula jumla utapata hizo dazeni
Biashara hiyo ina hela mnooo. Maana ukianza na dazeni za kutosha unakuwa Tajiri. Kikubwa tafuta eneo zuri kwa biasharaMaada nzuri sema hujatoa maelezo ya kina
Kariakoonielekeze maduka ya jumla ya wapi (mtaa gani)
We nae khaaaa unakera!Mtoa mada mpumbavu tu kma wapumbavu wengine. Nitajie tajiri mmoja duniani ambaye utajiri wake kaupata kwa kuuza nywele. Sema tu kwmb itakufanya usilale njaa na vyuma vitaachia kimtindo, ila sio utakuw tajiri....!!!
Mmh ilo povuMtoa mada mpumbavu tu kma wapumbavu wengine. Nitajie tajiri mmoja duniani ambaye utajiri wake kaupata kwa kuuza nywele. Sema tu kwmb itakufanya usilale njaa na vyuma vitaachia kimtindo, ila sio utakuw tajiri....!!!