Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

Nenda dar kariakoo kule ni kokoro utapata kila kitu.Fanya survey wiki uliza maduka zaidi ya kumi kisha fanya mlinganisho.Usiingie duka moja na kubeba mzigo utaumia.
 
Vzr Kwakumuelewesha Akiingia Kichwa Kichwa Anaibiwa Mchana Kweupe
 
Nipo mkoani kwenda dar kufanya survey na kurudi c itanicost sna ndugu yangu, nilitamani nifahamu chimbo zao wanazo uza jumla ndo niende huko ili nipafanyie survey kujua wanauzaje ubora wake na aina za rasta
 
Wewe Beba Hela Zako Ila Zisiwe Kwenye Mkoba Maana Ukija Unawezakurudi Mtupu, Siku Utakayokuja Ndo Siku Hiyo Hiyo Utafanya Survey Au Kama Ni Mgeni Ntakutembeza Ila Siyo Bure Bure
 
Zawad ya pasaka
FB_IMG_1522064156098.jpg
 
Mfano mtu ana mtaji 2M Tshs, anataka afungue duka la RASTA na WIVING.... anapenda kujua ni rasta na wiving za aina gani ambazo ni nzuri na quality na zipo kwenye trendd?
pia anauliza wapi hapa dar es salaam anaweza kupata mzigo wa jumla kwa bei rahisi?
Kama rasta uende kiwanda cha darling..na weaving uende noble kama utataka za bei rahsi kama nywele og..china bebe
 
Kuna watu Mungu anawazoom aisee katani hizo mnasema nywele og hzo hata pasi haikubali hapo..nywele og inajulikana bana
 
Biashara ya saluni inalipa sana. Mfano dazeni ya nywele za bandia ni sh.12000 tu (kwa bei ya jumla jumla) ambapo kwa reja reja kila pic moja inauzwa sh.1600 tu.

Hivyo ukiwa na dazeni 100 na kila dazeni ina pic 12 ili itimie dazeni, hivyo,

Kila pic moja kama utaiuza sh.1600 utapata faida ya sh.19,200 (yaani 12 zidisha kwa sh.1600)

Hivyo, chukua faida ya dazeni moja ambayo ni sh. 19,200 zidisha kwa dazeni 100 utapata sh.1,920,000. Hata ukifanikiwa kumaliza hizo dazeni ndani ya mda mfupi hiyo hela itakuwa yako yaani faida.

KUMBUKA: Hapo unahitaji mtaji wa sh.1,200,000 tu. Pia biashara hii hakikisha huna Tabia za kutamani tamani wanawake maana faida hutaiona!

Kazi ni kwenu sasa!
 
Asante mtoa mada. Naomba utupe ufafanuzi wa mahali pa kupata hizo dazeni kama ulivyoainisha hapo juu. Kama ni maduka ya jumla utuambie yalipo maana wengine tungependa kufanya biashara hii.
 
Nenda maduka ya jumula jumla utapata hizo dazeni
 
Mtoa mada mpumbavu tu kma wapumbavu wengine. Nitajie tajiri mmoja duniani ambaye utajiri wake kaupata kwa kuuza nywele. Sema tu kwmb itakufanya usilale njaa na vyuma vitaachia kimtindo, ila sio utakuw tajiri....!!!
 
We nae khaaaa unakera!
 
Mtoa mada mpumbavu tu kma wapumbavu wengine. Nitajie tajiri mmoja duniani ambaye utajiri wake kaupata kwa kuuza nywele. Sema tu kwmb itakufanya usilale njaa na vyuma vitaachia kimtindo, ila sio utakuw tajiri....!!!
Mmh ilo povu
 
Back
Top Bottom