Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Wewe nimetumia hela zangu nyingi sana kukuelimisha , lakini una bichwa gumu sana , haya sasa kiko wapi ?
 
Tangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.

Hii nchi ni ya familia.
Hata Magu alilipa fadhila Kwa familia.Hii nchi ina wenyewe sisi wengine tunakula wanavyotumegea πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

Kuwa chawa acha kulia Lia kama mtoto.
 
Kinachofata nae si atanyooshwa tuπŸ˜… kwani sindio mtindo wao CCM huko!
 
On my view:

Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.

Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
Mkuu una uhakika tutafika 2025 kabla Hangaya hajalivurugua tena hili baraza????
 
Baraza la mchongo. Yaani kelele zile zote ndio kaja na hivi vituko
 
Sasa tuibue hoja ya katiba mpya tushirikiane wananchi wote bila kujali vyama vyetu iwe mvua au jua katiba mpya lazima ipatikane
Unadhani rahisi kiasi gani ndugu yangu,hapa nikuomba nakusali Tu,watanzania hatuna ujasiri huo walidai lolote,nawao wanafanya hivi kwavile washajua watanzania hatuyawezi mabadiriko
 
Hivi kuna watu bado walikuwa na matarajio yoyote ndani ya hii nchi?
Kweli mkuu,mm alipofariki Tu mwendazake,nilikosa tumaini na mamatanzania,7kiwaona Tu nyuso zao unaona Hamna kitu hapa
 
Wewe nimetumia hela zangu nyingi sana kukuelimisha , lakini una bichwa gumu sana , haya sasa kiko wapi ?
Hah hah naona umefurahiii, hawa sisi tunao tu subiri. Huku ofisini kwenu pamekuwa mahame ya mbuzi nasikia mnapangisha vyumba nakuja kuchukua chumba kimoja mwana CCM mie nisie bebwa kwa kutumia baba.
 
Nilijua utaitaja Ujerumani na ni kwa sababu inaipa misaada CHADEMA kwa ajili ya kufanyia uchochezi na kutukana mitandaoni.
Nyinyi kila mtu akikosoa tayari anakuwa ni Chadema, haya na wewe ni nani anaekulipa kuja kushangilia mitandaoni??
 
Hivi hata hauoni aibu kuongea hizi pumba??
Huoni wewe ndiyo pumba? Mimi nimeuliza hao wateule wana shida gani hadi wakose sifa?

Unachotakiwa ni kujibu sio kuandika kiroja ambacho hakina fact yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…