Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Ulikuwa na shida ya kuolewa! sasa maombi yako yamejibiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwenu mnaoana wanawake kwa wanawake? Mimi ni kidume ninamiliki wanawake wawili wanaojielewa sio kama wewe dada poa usiyejitambua.
 
Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu.

Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.

Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu.

Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Kipindi hiki cha mpito kigumu sana, ni kama nchi isiyo na kiongozi. Mioyo ya watu imejaa huzuni isiyo kifani wakiyatazama yajayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwenu mnaoana wanawake kwa wanawake? Mimi ni kidume ninamiliki wanawake wawili wanaojielewa sio kama wewe dada poa usiyejitambua.
Usisahau kuomba uzalishwe wangapi!!
manake ndoa bila watoto ni bure utaachika mapema
 
Nchi itachangamka tena hahahah
Deal kama zote
Haya akina Pengo na wachunga kondoo wa Bwana mtaanza na 'Waraka kama Waraka'
Tukisema Katiba Mpya inahitajika mtaelewa sasa
Vyeo vya kupeana kama njugu basi tuone

Hii nchi ngumu sana
Mtoeni Mbowe Magereza
Tuanze upya Ila huko mtatoana meno safari hii
Ka Babu Mkuchika yupo bado halafu vijana mkatafute kazi
 
Sasa ni kwa nini walimtesa JK kwa miaka 5 mfululizo? Walisahau mambo ya Karma?
Screenshot_20220108-185845.jpg
 
On my view:

Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.

Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
Alifanikuwa uchaguzi upi?
 
Tangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.

Hii nchi ni ya familia.
Yule alikwishanyamazishwa kwa ile Benz ya 400m
 
Tangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.

Hii nchi ni ya familia.

Relax , Upepo Utageuzwa ni suala la Muda .

Mama tumeshamsoma vyema sana na ile timu mwafulani yote imeshakaa Kwenye line

Nchi imesharudi nyuma ilipotoka

. Ni dhahir kwamba Mama hakuwa sehemu ya JPM na huyu Mama ndio alikuwa ni uchochoro wa taarifa za karibu za JPM na mipango mingi kumfikia KIGOGO( TIMU MWAFULANI GROUP).

ni timu ile ile iliyoozesha nchi kati ya 2010 hadi 2015 . Tanzania inapitia hard time sana na wanasema ukiona giza linakuwa kubwa ujue kupambazuka kunakaribia

JPM mpya atazaliwa tena 2025. We have lost a battle not a war. Mama hii vita wala haiwezi ; she is just ill advised
 
Mimi ndo nimeamini huyu mama ndo alikiwa adui namba moja wa JPM!
 
Back
Top Bottom