Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Wacheni majungu kila utawala unaamini katika falsafa yake mbona wewe na ukoo wako wote hamjawahi kushika hata nafasi ya mwenyekiti wa kijiji

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga

Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa
Kwani hii ni serikali inayotarania kutufanyia kazi ss wananchi?
Hawa wote ni vibaraka wa mabeberu chini ya mzee wa mizoga, hawahitaji weledi wowote hawa maana wanatarajia kuuza nchi na kupata mikopo tu,
 
Tatizo upinzani hakuna watu wenye ushawishi kama enzi zile Akina dr.slaaa
 
Kila mtu ana maoni yake...Muhimu ni uwezo wao. Hata wangekuwa wajukuu wa viongozi waliopita
 
Yana mwisho, hakuna lililo la milele,sisi watoto tuliokulia mlo mmoja wa kulamangia nasi ipo siku yetu inakuja soon, kwa sasa wacha wenye keki mzoga timu wakenue meno 32 baada ya kuminywa makende kwa miaka 5
Sahihi kabisa
 
Hata angeteuliwa nani msingeacha kuongea,muhim hao aliowateua ana Iman nao basi Wacha Kaz iendelee,kama hutaki basi kataa,ila ukikataa itasaidia mini,yaani mfano mbowe achukue Dola saiz aache kutengeneza team kama ya kina mnyika,lisu,lema na kadhalika aweke masnitch ambao hawajui hata iman yao ikoje kwake??
 
Ww punguani kweli
 
Weka la kwako,hili ni la kwake kwa kadri aonavyo linafaa

Hatari Sana,hapo hapo anasimama kumshangilia Magufuli,huku anasema mama uwezo wake ni mdogo,kama Magufuli alimwamin na kufanya awe naibu wake ni point tosha kuwa ana uwezo mkubwa,maana wap kigezo Chao Cha akili si ni Magufuli??
 
Ww punguani kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hoja yako imeishia hapo? Una upeo mdogo sana mzee wangu. Ila pole sana ndo tiba yenyewe ilivyo ni lazima iambatane na maumivu makali.
 
Huoni wewe ndiyo pumba? Mimi nimeuliza hao wateule wana shida gani hadi wakose sifa?

Unachotakiwa ni kujibu sio kuandika kiroja ambacho hakina fact yoyote.
Tanzania nzima Riziwani ndiye anaijua ardhi kuliko wote?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hoja yako imeishia hapo? Una upeo mdogo sana mzee wangu. Ila pole sana ndo tiba yenyewe ilivyo ni lazima iambatane na maumivu makali.
Usubiri kuolewa ww dada.....
 
Tanzania hakuna upinzan
Upinzani upo sema mifumo yetu ya haki na utawala ndiyo haitaki kukubali kama tuna upinzani. Waangalie Zambia na Malawi wao mifumo yao na taasisi zao zilishakubali kuwa kuna upinzani na wapinzani ambao wanazo haki kama raia wengine wote na hivyo ni kuendana na utaratibu w kawaida wa kitaasisi. Hapa kwetu wakoloni wa kijani hilo kwao ni unthinkable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…