Huyo ambaye unapendekeza angeteuliwa ndo anaijua ardhi ya nchi nzima?Tanzania nzima Riziwani ndiye anaijua ardhi kuliko wote?
Asante mama bahati nzuri mimi nimeoa sasa imani yangu inaniruhusu wake hadi wanne bado nafasi ipo karibu.Usubiri kuolewa ww dada.....
Ulikuwa na shida ya kuolewa! sasa maombi yako yamejibiwaAsante mama bahati nzuri mimi nimeoa sasa imani yangu inaniruhusu wake hadi wanne bado nafasi ipo karibu.
Daaah kweli ccm ina wenyewe jamaniTulieni, Chama Cha Mapinduzi kina wenyewe[emoji481]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwenu mnaoana wanawake kwa wanawake? Mimi ni kidume ninamiliki wanawake wawili wanaojielewa sio kama wewe dada poa usiyejitambua.Ulikuwa na shida ya kuolewa! sasa maombi yako yamejibiwa
Kipindi hiki cha mpito kigumu sana, ni kama nchi isiyo na kiongozi. Mioyo ya watu imejaa huzuni isiyo kifani wakiyatazama yajayo.Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu.
Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.
Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu.
Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Usisahau kuomba uzalishwe wangapi!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwenu mnaoana wanawake kwa wanawake? Mimi ni kidume ninamiliki wanawake wawili wanaojielewa sio kama wewe dada poa usiyejitambua.
Hagaya ni utopolo
Lukuvi ana shida gani?
Kabudi naye!
Alifanikuwa uchaguzi upi?On my view:
Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.
Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
Ndio anajua mikoba ilipoHuyu Mkuchika Toka Tunazaliwa Yeye ni Waziri Tuuu
Ni bora kuliko kuwa mshangiliaji.Mwizi kazidiwa kete 😅😅
Yule alikwishanyamazishwa kwa ile Benz ya 400mTangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.
Hii nchi ni ya familia.
Tangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.
Hii nchi ni ya familia.
Inawezekana yy ndio hirizi ya chama hawampigagi chini kabisa huyu dingi!!?Huyu Mkuchika Toka Tunazaliwa Yeye ni Waziri Tuuu
Mimi ndo nimeamini huyu mama ndo alikiwa adui namba moja wa JPM!Relax , Upepo Utageuzwa ni suala la Muda .
Mama tumeshamsoma vyema sana na ile timu mwafulani yote imeshakaa Kwenye line
Nchi imesharudi nyuma ilipotoka
. Ni dhahir kwamba Mama hakuwa sehemu ya JPM na huyu Mama ndio alikuwa ni uchochoro wa taarifa za karibu za JPM na mipango mingi kumfikia KIGOGO( TIMU MWAFULANI GROUP).
ni timu ile ile iliyoozesha nchi kati ya 2010 hadi 2015 . Tanzania inapitia hard time sana na wanasema ukiona giza linakuwa kubwa ujue kupambazuka kunakaribia
JPM mpya atazaliwa tena 2025. We have lost a battle not a war. Mama hii vita wala haiwezi ; she is just ill advised