Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Ukimaliza kula lala kesho kanisani!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Funga bakuli lako tunafungua nchi.... Kipindi cha pombe anajaza humo hadi watoto wa dada ulisema au kwa vile ni wa nyumbani?
Niambie sasa hao watoto wa dada wa Magu ambao mama amewatoa?

Nyie machawa ndio mnafanya kina Riz 1 wajione hii nchi ni yao pekee
 
Nasikia soon or later governor pia anaondoka pale BOT
 
Mlishaambiwa ina wenyewe sema mmeshupaza shingo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha juzi mama aliposema anaandaa mkeka wa mawaziri yakawa yanaruka na kudemka yalifikiri sijui atawekwa Lisu na mbowe?
 
Upinzani upi?

Hawa walioshangilia hangaya akifinyanga bunge wakifikiri wanamkomoa ndugai?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha juzi mama aliposema anaandaa mkeka wa mawaziri yakawa yanaruka na kudemka yalifikiri sijui atawekwa Lisu na mbowe?
Nawadharau sana hao jamaa, yani wanafuata upepo kushinda hata bendera.
 
Taja hao ndugu wa Magu, alafu twambie wako wapi sasa hivi?
 
Tumechoka kupigwa mshono na bi kidude jadi tumekuwa sugu. Kabudi - tremendous job mikataba na rasilimali zetu.

Lukuvi 😭 kila mtu anajua.

CCM mjiandae kuangukia mapua manene Ka tembo
 
Imeniuma kigwangala kaachwa halafu waziri wa utumishi kabadilishwa na yule mama mcheza segere
 
Wananchi hivi kwa baraza la mawazili lililoteuliwa leo, kweli hili baraza ndio litatuvusha kwenye mikakati ya maendeleo mpaka kufika 2025, au mawazili walioteuliwa wameteuliwa kwa ajili ya kutumika kuivusha tena kijani 2025, kama kweli tunahitaji maendeleo basi hatuna budi kuuvaa ujasiri na kukataa kupelekeshwa kwa namna hii.
Ifike mahari tuseme sasa imetosha enough is enough!!!! Tuache woga watz
 
Muda wa kubebana umetosha. Uchaguzi Mkuu 2025 wananchi watafanya maamuzi. Izingatiwe kuwa wapigaji kura wengi watakuwa vijana ambao TEHAMA wanaitumia vyema.

Tuhamasishane kuwanyima kura wanasiasa wenye agenda binafsi ili wasiweze kupewa uteuzi na mamlaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha juzi mama aliposema anaandaa mkeka wa mawaziri yakawa yanaruka na kudemka yalifikiri sijui atawekwa Lisu na mbowe?
...Hawa Chadema walikufanya nini?...mbona unawashambulia sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…