Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mwendazake ametuathiri wengi hasa Sisi watumishi, naingia mwaka wa6 sijui nyongeza ya mshahara wala daraja jipya.
Mshahara umezidi kupungua kwa makato ya Loan Board
 
Nikusalimu kwa jina la Jamhuri. Ikumbukwe huyu mama (Janeth) alikuwa bado ni Mtumishi wa Umma hivyo akachukua likizo bila malipo.

Ni muda sasa umrudishe katika utumishi wa Umma amalizie muda wake wa kustaafu.
 
Ikimpendeza ukimaanisha kwa utashi wake, hapo siwezi kuingilia maamuzi yake.

Ila kwa ushauri wangu tu, huyo mama vyema akatulia nyumbani au aendelee na majukumu yake ya mwanzo, yale makelele ya kule bungeni na zile kambi zilizoibuka yatamrudishia maumivu tu,

Hata akipewe hiyo nafasi vyema aikatae apumzishe akili yake.
 
Nikusalimu kwa jina la Jamhuri....ikumbukwe huyu mama (Janeth) alikuwa bado ni Mtumishi wa Umma hivyo akachukua likizo bila malipo...

Ni muda sasa umrudishe katika utumishi wa Umma amalizie muda wake wa kustaafu
Dooh..
Kwa hiyo nafasi ya ubunge itolewe tu kama rambi rambi, au?!!!
 
Bado tunasafari ndefu sana kama TAIFA katika kupiga hatua. Inabidi tuondokane na watu wa kujikomba kwenye system na tuondokane na maprofesa waliogushi elimu.
 
Hahaaaaa mhishimiwa supika kwanza nikurudishe nyuma mme wangu angekuwepo hii hoja msingeileta hapa yaani wooote sukuma ndani kabla hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nikusalimu kwa jina la Jamhuri....ikumbukwe huyu mama (Janeth) alikuwa bado ni Mtumishi wa Umma hivyo akachukua likizo bila malipo...

Ni muda sasa umrudishe katika utumishi wa Umma amalizie muda wake wa kustaafu
kwamba hiyo nafasi inatolewa kama shukurani? hongo au kujipendekeza?
hakuna cheo cha asante.
 
Hiyo familia haijikwezi kwa fadhila hizo na naamini hauwezi kukubali mambo ya siasa tena. Hata watoto wake usitarajie wakajiingiza huko
 
Tunajitaji kiongozi ambaye ndiye bora katika wale wanaozungumza.
Kiongozi ambaye Hana lawama, kiongozi ambaye vitivo vyake(faculties)vimetulia.
Kiongozi ambaye watu wote wanaompinga hawawezi kumfanya atetereke, kiongozi mwenye kuelewa upeo wa juu kabisa wa ukweli.
Kiongozi wa Chama ambaye mwenendo wake ni mkamilifu na dhamira zake ni kamilifu.
Kiongozi ambaye amejikita katika kutafakari.
Kiongozi ambaye Hana tabia ya kuona uchungu au kukata tamaa, ambaye Hana hofu wala uchovu.
Kiongozi ambaye ana uvumili u kwa watu; ambaye hagandamani na watu lakini pia hagombani nao.
Kiongozi wa Chama anapaswa kuwa na akili ya wema wakati wote.
Katika kila uwanja maarifa yake yanapaswa kuwa mengi.

Tunataka kiongozi ambaye anaweza kuwaunganisha watu, ambaye akizungumza watu wanakuwa na utengamano,furaha na utulivu.
Kiongozi ambaye anazungumza maneno matamu,yenye hoja na dhahiri.
Kiongozi ambaye hashirikiani na wapumbavu,wenye maoni yasiyofaa,ambao ni waongo,wanaozungumza maneno ya kashfa,ya ukali au wanadanganya.
Kiongozi ambaye anashirikiana na wote ambao wamenyooka,hawada nganyi,ambao kila wakati hufanya kazi baada ya kuzingatia athari ya matendo yao.
 
^Ndugu zangu, najua mtanikumbuka^ Kiongozi ambaye anaogopa lawana amepoteza sifa ya uongozi. Bi Mkubwa ametuangusha sana sisi Watanzania
 
Panueni vizuri dawa ipenye vizuri 😁😁 Nyie ni vibaraka wa mabeberu ambao mnatumika kwajili ya maslahi ya mabeberu ili kujaribu kuiweka nchi hatarini kwa kukosa amani, acheni uchochezi na kuwatumikia mabeberu
 
Tumuombee mama na tumuunge mkono. Mwendazake ilibidi afe tu taifa lipone la sivyo angeendelea kuishi zaidi ya mwezi tungekuwa kama Haiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…