Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ni rahisi kukosoa. Ila kutenda kazi ni jambo lingine. Si kila anaye kosoa anaweza kutenda kazi ya maana akipewa nafasi.
Ni kama mchezo wa mpira tu. Ukiwa nje ya uwanja ni rahisi kuona makosa ya wengine. Ukiingia kucheza ni shughuli nyingine.
Wale wameumbiwa kukosoa. Ndo kitu wanachoweza, ila sidhani kama wanaweza kuwa na msaada wakipewa nafasi za kutenda
Apo ume log outAchana na Mwendazake team maana bado Wana hangover ya unafiki na kujipendekeza. Tabia hiyo wameileta kwako. Hawatakusaidia kukushauri ukweli ili mambo yaende.
Watumie, Hili ni kwa every aspect of your government be it judiciary, Parliament and executive, of course I am well aware kuwa the other two arms need to be independent, but at some time as a President, you can not avoid "talking" to them.
Maria Sarungi na Fatima Karume wako bold enough kukushauri ukweli na si unafiki.
Kama ulivyosema, as long as one can deliver, you won't mind one's political inclination
Najua Kuna kitu kinaitwa Tacit knowledge...lkn kwa hawa wanakosoa na wewe unauona ukweli wa kilichokosolewa, you act on it!Ni rahisi kukosoa. Ila kutenda kazi ni jambo lingine. Si kila anaye kosoa anaweza kutenda kazi ya maana akipewa nafasi.
Ni kama mchezo wa mpira tu. Ukiwa nje ya uwanja ni rahisi kuona makosa ya wengine. Ukiingia kucheza ni shughuli nyingine.
Wale wameumbiwa kukosoa. Ndo kitu wanachoweza, ila sidhani kama wanaweza kuwa na msaada wakipewa nafasi za kutenda
ndio hawawezi kusema hivyo 'literally' ila ushauri wao ndio utakuwa unamaanisha vitu kama hivyoHawawezi kusema hivyo.
Kama unajua ‘radical’ ya ‘Chemistry’ basi umeshamwelewa vinginevyo uwe mwazi tu kwamba hats hiyo 'radical' ya 'chemistry' hujui!Radical ndo watu gan kiongozi, wengine tunajua radical ya chemistry
Katawaze kwanzaMuwe mnawaza Kwanza Kabla ya kusema
Not a good idea sirAchana na Mwendazake team maana bado Wana hangover ya unafiki na kujipendekeza. Tabia hiyo wameileta kwako. Hawatakusaidia kukushauri ukweli ili mambo yaende.
Watumie, Hili ni kwa every aspect of your government be it judiciary, Parliament and executive, of course I am well aware kuwa the other two arms need to be independent, but at some time as a President, you can not avoid "talking" to them.
Maria Sarungi na Fatima Karume wako bold enough kukushauri ukweli na si unafiki.
Kama ulivyosema, as long as one can deliver, you won't mind one's political inclination
Mkuu, hao ulio wataja ni wana harakati tu. Kuna watu kibao wanajua zaidi yao...ila wanafanya mambo yao kimya kimya.Najua Kuna kitu kinaitwa Tacit knowledge...lkn kwa hawa wanakosoa na wewe unauona ukweli wa kilichokosolewa, you act on it!
ni watu wanaotaka mabadiliko makubwa tofauti kabisa na hali iliyopo na hawana compromiseRadical ndo watu gan kiongozi, wengine tunajua radical ya chemistry
Aaah kumbe, hapo nimeelewa.ni watu wanaotaka mabadiliko makubwa tofauti kabisa na hali iliyopo na hawana compromise
Katawaze kwanza
Radical is a group of atoms which behave as a single element/compund.Kama unajua ‘radical’ ya ‘Chemistry’ basi umeshamwelewa vinginevyo uwe mwazi tu kwamba hats hiyo 'radical' ya 'chemistry' hujui!
Swali la kumuuliza, wanayokosoa Yana ukweli? Tuanzie hapo!Mkuu, hao ulio wataja ni wana harakati tu. Kuna watu kibao wanajua zaidi yao...ila wanafanya mambo yao kimya kimya.
Watu gani wana kosoa kila kitu. Yaani kwao hakuna jema hata moja. I think hiyo kazi waliyo jipa ina wafaa.
Hao acha wakae upande huo. Huko nako ni muhimu.
Hapo kwenye kuchagua inategemea upana wa uelewa wako.Lakini Wana valid arguments, unachagua Kati wanayokwambia....
Mimi nawafuatilia Sana, they are very logical in their arguments and reasoning.
But one can make a lot of sense out of wanaharakati . Tusipende Sana cheerleaders, huko watakudanganya for own benefit. Yale ya Mh. Mungu na KabudiNot a good idea sir
Hawa Ni waropokaji tu
Ukiwa rais, halafu ukawa unapokea ushauri kwa wanaharakati - nchi itakushinda
Baniani anapoamua kuweka wazi kuwa Mungu wake ni ng'ombe sasa ukiwafuatilia tukufanyaje wachukue wakushauri nyumbani kwako!Achana na Mwendazake team maana bado Wana hangover ya unafiki na kujipendekeza. Tabia hiyo wameileta kwako. Hawatakusaidia kukushauri ukweli ili mambo yaende.