Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Unaposema ^awachukue,^ you mean wakae pale State House Chamwino, au!??? Maana hata sasa hao wenzio wanendelea kuropoka tuuu the so-called ushauri. Hiyo itakuwa tactical & strategic political mistake + blunder ya karne!!!
 
Ni rahisi kukosoa. Ila kutenda kazi ni jambo lingine. Si kila anaye kosoa anaweza kutenda kazi ya maana akipewa nafasi.

Ni kama mchezo wa mpira tu. Ukiwa nje ya uwanja ni rahisi kuona makosa ya wengine. Ukiingia kucheza ni shughuli nyingine.

Wale wameumbiwa kukosoa. Ndo kitu wanachoweza, ila sidhani kama wanaweza kuwa na msaada wakipewa nafasi za kutenda

Usikute akaanza kujikosoa hadharani na kujitukana na kujiaibisha akipewa nafasi yoyote 🙂
 
Achana na Mwendazake team maana bado Wana hangover ya unafiki na kujipendekeza. Tabia hiyo wameileta kwako. Hawatakusaidia kukushauri ukweli ili mambo yaende.
Watumie, Hili ni kwa every aspect of your government be it judiciary, Parliament and executive, of course I am well aware kuwa the other two arms need to be independent, but at some time as a President, you can not avoid "talking" to them.
Maria Sarungi na Fatima Karume wako bold enough kukushauri ukweli na si unafiki.
Kama ulivyosema, as long as one can deliver, you won't mind one's political inclination
Apo ume log out
 
Ni rahisi kukosoa. Ila kutenda kazi ni jambo lingine. Si kila anaye kosoa anaweza kutenda kazi ya maana akipewa nafasi.

Ni kama mchezo wa mpira tu. Ukiwa nje ya uwanja ni rahisi kuona makosa ya wengine. Ukiingia kucheza ni shughuli nyingine.

Wale wameumbiwa kukosoa. Ndo kitu wanachoweza, ila sidhani kama wanaweza kuwa na msaada wakipewa nafasi za kutenda
Najua Kuna kitu kinaitwa Tacit knowledge...lkn kwa hawa wanakosoa na wewe unauona ukweli wa kilichokosolewa, you act on it!
 
Hivi leo ukimchukua George Ambangile, Oscar Oscar Jr na Geoff Lea ukawavalisha jezi ya mpira wacheze uwanjani unadhani kitatokea nini? Wakati Wingine najiuliza kuongoza watanzania ni kitu rahisi sana kuliko Ngedere kupanda juu ya mti
 
Achana na Mwendazake team maana bado Wana hangover ya unafiki na kujipendekeza. Tabia hiyo wameileta kwako. Hawatakusaidia kukushauri ukweli ili mambo yaende.
Watumie, Hili ni kwa every aspect of your government be it judiciary, Parliament and executive, of course I am well aware kuwa the other two arms need to be independent, but at some time as a President, you can not avoid "talking" to them.
Maria Sarungi na Fatima Karume wako bold enough kukushauri ukweli na si unafiki.
Kama ulivyosema, as long as one can deliver, you won't mind one's political inclination
Not a good idea sir

Hawa Ni waropokaji tu

Ukiwa rais, halafu ukawa unapokea ushauri kwa wanaharakati - nchi itakushinda
 
Najua Kuna kitu kinaitwa Tacit knowledge...lkn kwa hawa wanakosoa na wewe unauona ukweli wa kilichokosolewa, you act on it!
Mkuu, hao ulio wataja ni wana harakati tu. Kuna watu kibao wanajua zaidi yao...ila wanafanya mambo yao kimya kimya.

Watu gani wana kosoa kila kitu. Yaani kwao hakuna jema hata moja. I think hiyo kazi waliyo jipa ina wafaa.

Hao acha wakae upande huo. Huko nako ni muhimu.
 
Wanaharakati hawafai katika mambo sensitive kwanza ni wapenda publicity pia Hawana vifua kabisa waachwe waendelea kupiga soga twitani uko
 
Kama unajua ‘radical’ ya ‘Chemistry’ basi umeshamwelewa vinginevyo uwe mwazi tu kwamba hats hiyo 'radical' ya 'chemistry' hujui!
Radical is a group of atoms which behave as a single element/compund.

Haya sasa wewe unaejua nielekeze jinsi zinavohusiana.
 
Mkuu, hao ulio wataja ni wana harakati tu. Kuna watu kibao wanajua zaidi yao...ila wanafanya mambo yao kimya kimya.

Watu gani wana kosoa kila kitu. Yaani kwao hakuna jema hata moja. I think hiyo kazi waliyo jipa ina wafaa.

Hao acha wakae upande huo. Huko nako ni muhimu.
Swali la kumuuliza, wanayokosoa Yana ukweli? Tuanzie hapo!
 
Lakini Wana valid arguments, unachagua Kati wanayokwambia....
Mimi nawafuatilia Sana, they are very logical in their arguments and reasoning.
Hapo kwenye kuchagua inategemea upana wa uelewa wako.
 
Not a good idea sir

Hawa Ni waropokaji tu

Ukiwa rais, halafu ukawa unapokea ushauri kwa wanaharakati - nchi itakushinda
But one can make a lot of sense out of wanaharakati . Tusipende Sana cheerleaders, huko watakudanganya for own benefit. Yale ya Mh. Mungu na Kabudi
 
Achana na Mwendazake team maana bado Wana hangover ya unafiki na kujipendekeza. Tabia hiyo wameileta kwako. Hawatakusaidia kukushauri ukweli ili mambo yaende.
Watumie, Hili ni kwa every aspect of your government be it judiciary, Parliament and executive, of course I am well aware kuwa the other two arms need to be independent, but at some time as a President, you can not avoid "talking" to them.
Maria Sarungi na Fatima Karume wako bold enough kukushauri ukweli na si unafiki.
Kama ulivyosema, as long as one can deliver, you won't mind one's political inclination
Baniani anapoamua kuweka wazi kuwa Mungu wake ni ng'ombe sasa ukiwafuatilia tukufanyaje wachukue wakushauri nyumbani kwako!
 
Back
Top Bottom