Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huo uanaharakati wao unawafaa, wanasaidia kujirekebisha, ukiwapa vyeo unawafunga midomo
 
Kutoka "home of the great thinkers" mpaka "where we dare to speak openly"..sikuwaelewa JF lkni leo nimewaelewa😀
 
Mavi
 
Mkuu Mtemi Nyakarungu, naunga mkono hoja. Hiki ulichowashauri Chadema, na mimi niliwashauri vivyo hivyo.
p
 

Zilipedwa sera za kuchukia wapinzani zimeisha ni Watanzania wenzetu kama mwingine yeyote

Tume huru iwekwe na uchaguzi huru bila upendeleo uwepo, vyombo huru vya habari viwepo na polisi na mahakama wasihusike na upendeleo wa kisiasa. Mambo ya udhaifu ni ujinga ambao haujasaidia lolote taifa. Wanashinda washinde tujenge nchi na ukishidwa jipange sio kutegemea kusaidiwa na vyombo Hii ndiyo demokrasia. Msije kuleta mifumo ambayo hata haifuatiliwi kitaalamu haita leta maendeleo. Mama anajua hili na anapenda nchi kuliko chama.
Hebu tujiulize zaidi ya ruzuku kwa CCM kuongezeka na kujinunulia magari ya kifahari wabunge kuwa 95% CCM imesaidia nini mpaka leo!! Zero wapinzani walikuwa 40 tu !!
 
Unapoteza muda bure!
 
Kama ndio upeo wako umeona udhaifu wa serikali ni kwenye mechi ya Simba na Yanga basi hauna tofauti na mtoto mdogo kwakipimo cha upendo kwake nikumletea pipi na chocolate..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hukumwelewa mleta mada kuhusu Mwalimu na Mwanafuzi. Kuhahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ulikuwa mfano tu.

Wakati wa Mwalimu wake, kwa mfano, "Boss" wa Barrick alikuja Tanzania na "Jet" yake binafsi kushughulikia suala madini yetu. Kuhusu bomba la mafuta imetulazimu kwenda Uganda kusaini mkataba.

Mifano hiyo miwili maana yake ni kwamba mwenye chake hukulazimu wewe ndiye uende kwa majadiliano. Iweje gesi yetu mkataba utengenezwe Kenya na sisi tulazimike kwenda kusaini huko.

Hakika yajayo yanafikirisha
 
Eti Wakenya ni wajanja wajanja! Kwa hiyo tutafute wajinga wajinga ndiyo tufanye nao biashara? Utajifunza nini kwa wajinga? Tunahitaji watu wajanja tena zaidi ya hao wakenya, hapo tutakuwa na la kujifunza. Nikupe mfano mdogo, Timu ya Simba 2019 ilipoingia group stage ilikuwa inafungwa mabao mengi tu ugenini(14), kwa sababu ilikutana na timu bora. Kuna kitu ilijifunza, mwaka huu imefungwa bao moja tu ugenini.
Ukitaka kukumbia kwa kasi, kimbia na anayekuzidi mbio.
 
Hakika tumuombee sana huyu mama, ukimtazama usoni utaona ni kiasi gani yupo na mtihani mbele yake
 
Hatutakiwi kumuhurumia coz yeye ndo aliombaa hii kazi tunatakiwa kumkumbusha atimize kile walichotuambia yeye na JPM kwenye Kampeni.
 
Kwamba majukumu aliyokabidhiwa hatayaweza, time will tell, up to this point anajaribu kugusa gusa hapa na pale, though bado sijaona her true statement of intent.
 
Magufuli hakupenda kudhurula, Magufuli hakupenda kucheka na mabeberu, Magufuli never gave in kwa mabeberu, Magufuli never submitted himself kwa hawa vibaraka wa mabeberu na AstraZeneca. She's the total opposite of shujaa wa Afrika.
 
Anazurura zurura na kurukaruka,hakuna la maana analofanya.She is cursed one term president!
Whatever worse she might be. There is no way atakuwa one term.

Hata akitaka kufia madarakani, inawezekana.

Msijipe moyo sana ili kujidanganya kisaikolojia. Get to your senses and face the truth.
 
Magufuli hakupenda kudhurula, Magufuli hakupenda kucheka na mabeberu, Magufuli never gave in kwa mabeberu, Magufuli never submitted himself kwa hawa vibaraka wa mabeberu na AstraZeneca. She's the total opposite of shujaa wa Afrika.
Shujaa wa Chato nadhani inge fit zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…