Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hama nchi na umwache mama arudishe nchi kwenye mstari .Hatuwezi kundesha nchi na wahuni kama hao unaowatetea hapa,Mama piga kazi,tuko wote kwa kila hali.
Baadhi munatetea mukiamini nafuu imekuja. subili tu mutaona. Yaani munategema nafuu toka CCM? CCM? Subilia abracadabra za chama hicho ndo mutajua nini maana ya kina wenyewe.
 
Jamaa umeongea ukweli kabisa.
 
Sabaya sio DC mstaafu..he is a hooligan
 
She has chosen the wrong and souring route to take to her longed destination which is vividly murky to sail in. She is creating enemies within the circle details as a timebomb to explode in backlash.
 
Wewe ni kima.
Wakuu wa wilaya za Kilimanjaro ni wachaga? RC Mghwira ni mchaga?
 
Unazungumziaje zile clip zake akifanya uvamizi saa nane za ucku? Au CCTV imeeditiwa nn. Uamuzi upi kafuata mitandao ambao sio sahihi au kamuonea mtu? Ile taasisi ina vyanzo vingi vya kiupelelezi, Halaf hata yeye alikua ni VP hakuna asichojua. So kaa kwa kutulia hakuna namna.
 
Kwa sasa Serikali inaongozwa kutokea Msoga
 
Touching is more serious than looking.
Mheshimiwa Raisi Samia achana na tabia ya kutoa mkono ,hilo ni Haramu kwa Muislamu ,na hilo wanatakiwa walijue na wengine..
 
Yuko wapi aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr Nyambura MOREMI?

Ni wakati wa Gwajima kujitathimini kwenye kiti hicho.

 
Nina uhakika mama akireview kesi yake atamrudisha kazını!!! The country cannot afford to lose such rare talent!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…