Hiyo dhambi siwezi fanya katika maisha yangu. Kwa taarifa yako mimi nipo sana mpaka Mwenyezi Mungu aamue vinginevyo.Kuna taarifa kuwa magu2016 amejinyonga kwa msongo wa mawazo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo dhambi siwezi fanya katika maisha yangu. Kwa taarifa yako mimi nipo sana mpaka Mwenyezi Mungu aamue vinginevyo.Kuna taarifa kuwa magu2016 amejinyonga kwa msongo wa mawazo!
Mkuu umefufuka?😳😳😳Hiyo dhambi siwezi fanya katika maisha yangu. Kwa taarifa yako mimi nipo sana mpaka Mwenyezi Mungu aamue vinginevyo.
Nipo hapa Masaki Samaki Samaki njoo upate Henessy mkuu!!Mkuu umefufuka?😳😳😳
Baadhi munatetea mukiamini nafuu imekuja. subili tu mutaona. Yaani munategema nafuu toka CCM? CCM? Subilia abracadabra za chama hicho ndo mutajua nini maana ya kina wenyewe.Hama nchi na umwache mama arudishe nchi kwenye mstari .Hatuwezi kundesha nchi na wahuni kama hao unaowatetea hapa,Mama piga kazi,tuko wote kwa kila hali.
Jamaa umeongea ukweli kabisa.Sifa zilimuangusha Joyce Banda wa Malawi akitafuta kuwafurahisha wamalawi kuliko mtangulizi wake na wafadhiri hadi akaruhusu ushoga. Yuko wapi leo hii? NGO ni tofauti na nchi. Nchi haihitaji umaarufu binafsi na kusifiwa na wafadhiri, ni heshima kwa wananchi wake.
Rais wetu amemsimamisha mkuu wa wilaya kwa uchunguzi. Uchunguzi upi? Amua tu kwamba nimekuondoa kwa taarifa ulizonazo. Huyu ni afisa aliyefanyiwa vetting, ambaye kila anachokifanya kila siku kinaripotiwa na DSO ngazi za juu hadi taifa? Kumsimamisha ni uzembe na kutafuta kujulikana maana kila kitu kiko mezani kwa rais.
Rais wetu alihitaji muda wa kuifahamu nchi na makabila yake na uhusiano wetu na hata kujua yapi yalifanywa na serikali zilizopita zote, kabla hajaanza hizo papala. Uchagani kuna dhalau ya makabila yote yanayowazunguka na kwa mkuu huyu wa Wilaya, anayetokea mkoa jirani kwao wanaona hastahili kuwatawala. Ni hivyo kote! Iwe ni Shehe, Padri, Askofu, Diwani, mbunge, nk. Hawataki kabila jingine. Ooh! Njoni na matusi sasa lakini huo ndo ukweli.
Upi?Jamaa umeongea ukweli kabisa.
Sabaya sio DC mstaafu..he is a hooliganBaada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.
Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
You are very stupid aiseeNi watu ila ni wapinzani
She has chosen the wrong and souring route to take to her longed destination which is vividly murky to sail in. She is creating enemies within the circle details as a timebomb to explode in backlash.Sifa zilimuangusha Joyce Banda wa Malawi akitafuta kuwafurahisha wamalawi kuliko mtangulizi wake na wafadhiri hadi akaruhusu ushoga. Yuko wapi leo hii? NGO ni tofauti na nchi. Nchi haihitaji umaarufu binafsi na kusifiwa na wafadhiri, ni heshima kwa wananchi wake.
Rais wetu amemsimamisha mkuu wa wilaya kwa uchunguzi. Uchunguzi upi? Amua tu kwamba nimekuondoa kwa taarifa ulizonazo. Huyu ni afisa aliyefanyiwa vetting, ambaye kila anachokifanya kila siku kinaripotiwa na DSO ngazi za juu hadi taifa? Kumsimamisha ni uzembe na kutafuta kujulikana maana kila kitu kiko mezani kwa rais.
Rais wetu alihitaji muda wa kuifahamu nchi na makabila yake na uhusiano wetu na hata kujua yapi yalifanywa na serikali zilizopita zote, kabla hajaanza hizo papala. Uchagani kuna dhalau ya makabila yote yanayowazunguka na kwa mkuu huyu wa Wilaya, anayetokea mkoa jirani kwao wanaona hastahili kuwatawala. Ni hivyo kote! Iwe ni Shehe, Padri, Askofu, Diwani, mbunge, nk. Hawataki kabila jingine. Ooh! Njoni na matusi sasa lakini huo ndo ukweli.
Wewe ni kima.Sifa zilimuangusha Joyce Banda wa Malawi akitafuta kuwafurahisha wamalawi kuliko mtangulizi wake na wafadhiri hadi akaruhusu ushoga. Yuko wapi leo hii? NGO ni tofauti na nchi. Nchi haihitaji umaarufu binafsi na kusifiwa na wafadhiri, ni heshima kwa wananchi wake.
Rais wetu amemsimamisha mkuu wa wilaya kwa uchunguzi. Uchunguzi upi? Amua tu kwamba nimekuondoa kwa taarifa ulizonazo. Huyu ni afisa aliyefanyiwa vetting, ambaye kila anachokifanya kila siku kinaripotiwa na DSO ngazi za juu hadi taifa? Kumsimamisha ni uzembe na kutafuta kujulikana maana kila kitu kiko mezani kwa rais.
Rais wetu alihitaji muda wa kuifahamu nchi na makabila yake na uhusiano wetu na hata kujua yapi yalifanywa na serikali zilizopita zote, kabla hajaanza hizo papala. Uchagani kuna dhalau ya makabila yote yanayowazunguka na kwa mkuu huyu wa Wilaya, anayetokea mkoa jirani kwao wanaona hastahili kuwatawala. Ni hivyo kote! Iwe ni Shehe, Padri, Askofu, Diwani, mbunge, nk. Hawataki kabila jingine. Ooh! Njoni na matusi sasa lakini huo ndo ukweli.
Unazungumziaje zile clip zake akifanya uvamizi saa nane za ucku? Au CCTV imeeditiwa nn. Uamuzi upi kafuata mitandao ambao sio sahihi au kamuonea mtu? Ile taasisi ina vyanzo vingi vya kiupelelezi, Halaf hata yeye alikua ni VP hakuna asichojua. So kaa kwa kutulia hakuna namna.Sifa zilimuangusha Joyce Banda wa Malawi akitafuta kuwafurahisha wamalawi kuliko mtangulizi wake na wafadhiri hadi akaruhusu ushoga. Yuko wapi leo hii? NGO ni tofauti na nchi. Nchi haihitaji umaarufu binafsi na kusifiwa na wafadhiri, ni heshima kwa wananchi wake.
Rais wetu amemsimamisha mkuu wa wilaya kwa uchunguzi. Uchunguzi upi? Amua tu kwamba nimekuondoa kwa taarifa ulizonazo. Huyu ni afisa aliyefanyiwa vetting, ambaye kila anachokifanya kila siku kinaripotiwa na DSO ngazi za juu hadi taifa? Kumsimamisha ni uzembe na kutafuta kujulikana maana kila kitu kiko mezani kwa rais.
Rais wetu alihitaji muda wa kuifahamu nchi na makabila yake na uhusiano wetu na hata kujua yapi yalifanywa na serikali zilizopita zote, kabla hajaanza hizo papala. Uchagani kuna dhalau ya makabila yote yanayowazunguka na kwa mkuu huyu wa Wilaya, anayetokea mkoa jirani kwao wanaona hastahili kuwatawala. Ni hivyo kote! Iwe ni Shehe, Padri, Askofu, Diwani, mbunge, nk. Hawataki kabila jingine. Ooh! Njoni na matusi sasa lakini huo ndo ukweli.
Kwa sasa Serikali inaongozwa kutokea MsogaAcha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi mkuu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.
Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
afadhali msoga kuliko chatoKwa sasa Serikali inaongozwa kutokea Msoga
Acha ushabiki wa kitoto.Huyu hana kosa arudi kazini sasa mateso mwisho 17 March
Acha kujifanya wewe ni kamanda kumbe ni mataga asiyechokaAcha ushabiki wa kitoto.