Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wewe mbulula hivi unatakwimu zozote zinazopingana na hayo niyasemayo? Ukweli ni kuwa hazijapia huatua zote muhimu, na hazikingi maambukizi mapya hasa ukizingatia virusi vya aina vinavyoeneza mafua hujibadiribadiri na hivyo kuwaza kutengeneza chanjo ni ujuha! Maana unapomaliza kuitengeneza hata kimagumashi hivi bila kufuata utaratibu, ukianza kuwadunga hao mapanya1000 wako unakuta kimeshajibadiri na hivyo hicho kichanjo uchwara chako hakifui dafu! Mbaya zaidi unawawekea M-RNA za virus na wanyama wengine binadamu! Mpaka umalize kutengeneza na kuwadunga hao panya1000 binadamu msululu wa vijichanjo uchara hivyo utajikuta umezijaza chembechembe hai za huyo panya1000 binadamu mRNA za virusi na wanyama kibao mwisho cells zitasahau kutengeneza protein za asili zilizozoea kutemgeneza, na badala yake zitakuwa busy kutengeneza za kuja...hapo unafikiri utakuwa bado ww ni binafamu(hapa nawaza tu kwa sauti, hasa ukizingatia awamu za chanjo uchwara hizo zinavyoongezeka kila baada ya awamu kukamirika na kutokidhi)🤔!
 
Sayansi haina ubabaishaji ubabaishaji, atakwama tu sehemu. Atakausha malimao yote mashambani, atakula magunia yote ya tangawizi na kujibanika kwenye mvuke kama kitoweo, lakini hawezi kutibu au kuzuia Covid 19. Is this a rocket science?
We ndio kauzu kwelikweli! Kwani hata hizo chanjo uchwara za majaribio ipo hata moja inayokinga maambukizi us covid-19! We mwendawa-zimu kweli, wazungu wakisema kula mavi unakula tu, ukiambiwa ule vyakula vyenye vitamin C ikuongezee kinga ya mwili, kwa kuwa imesemwa na mtz huo ni uzwauzwa na siyo sayansi! Na bila hata haya unaponda kama ndondocha ☹️! Aibu yako!
Kwanza hiyo covid-19 imepata promo isiyostahili! Siyo hatari kama malaria, kifua kikuu na ukimwi! Hayo chanjo uchwara ya majaribio yanaweza yakawa yanamadhara zaidi kuliko hata mafua hayo!
 
Nchi hii inatatizo kubwa mnoooo la watumishi labla shida ilianzia kwenye mifumo ya Elimu yetu, watu wanapeana vyeo wasio na sifa stahiki matokeo yake wanaanza kulindana na Nchi inazama matopeni.

Nchi inatakiwa ifumuliwe tuanze upya tuu.
 
Awamu hii kama una cheo.. pale pesa ipo sana.. na haukuli hata shilingi.. lazima utimuliwe.. figure figusi.. ili watu wapige pesa..
 
Waliomaliza kuzaa, nao ushauri wako unawahusu ? Hivi unajua teknolojia ya miaka ijayo watu watakuwa wana editi
GENES!
Kama unataka mtoto wako awe mrefu unaenda kutoa genes ya uam UANDNJE, kama una taka uzae mtoto geneus, unatoa genes ya ukilaza unaweka ya geneus.
Wanasayansi wata modify genes mpaka binadamu aweze hata kuota mbawa ARUKE kama ndege hewani.
Sayansi ndio itakayoamua na si wanasiasa, uamuzi urabaki kuwa kwa mtu binafsi a 'modify' au 'asi modify'
 
Kwa hio wale waliochanjwa tayari sio badamu ni viumbe wengine ? cells zao zimesha misbehave wamekuwa tayari viumbe wengine?
What if wakibadirika wakawa the best species halafu chanjo ikapanda bei nawe ukabaki hivyo hivyo huku wenzio wamekuwa viumbe wengine, mfano nyani na binadamu ,nyani tuliwaacha porini sisi tukasogea mjini baada ya DNA zetu kubadirika wao bado wanaparamia miti sisi tunaendesha bodaboda.
Kuna watu watabaki kuwa primitive himan wakati wenzao wamekuwa superhuman.
 
Huu upotoshaji wa kipuuz unatoka wapi? Propagandists mna shida kubwa sana. Ndo hii habari ya mapapai kuwa +ve, ni chanzo kilianzia hapo cha propaganda. Kiuhalisia kuna watu wana uhitaji na kuna watu hawana uhitaji, ukiwemo wewe. So stay calm.
 
Awamu hii kama una chef.. pale pesa ipo sana.. na haukuli hata shilingi.. lazima utimuliwe.. figure figusi.. ili watu wapige pesa..
...'figure figusi'... hii lugha ni ngeni Jf!

Nimeshindwa kuambulia chochote!
 
Umemaliza mkuu, kipekee sitapoteza hata dk1, zikija tu ninazo. Hao wazalendo fake wa corona kwenye mbuzi achana nao na propaganda zao
 
Ngoja nisiendelee kupotesa muda na chizi ww! Umeambiwa chanjo ya ndui ilikuwa M-RNA kama ilivyo hii ya covid-19! Nenda kapokee ushoga na tabia zingine kwenye chanjo uchwara hiyo ili akili zikukae[emoji34]!
Wewe ni muongo, na unaishi kwa hisia na Hoax news, huna material facts hata kama una elimu fulani ya elimu ya Virus. Huna hoja, hoja yako ya kijima tu ya malimao na tangawizi pekee, unakosa ya kutetea imani yako kisayansi
 
Wewe umejuaje kuwa hakuna tafiti?
Weka ushahidi hapa wa Taasisi yoyote huru inayotambulika. Je WHO akiwemo yule Mu Ethiopia anasemaje? Kwamba wewe unajua sana kuliko WHO, kuliko Kagame aliyekula chanjo baada ya watu wake kujiridhisha?!!
 

 

 
Mleta uzi hauna elimu ya sayansi ya tiba au tiba yenyewe. Umesukumwa na ujinga na elimu potofu ya vijiweni. Huu ni moja kati ya uzi uliojaa ujinga mwingi sana kwa wakati mmoja
Wanasayansi mnatumika tu na mabwana zenu. Tanzania tuna tatizo kubwa kiasi kuwazidi waliochanjwa? Kuna haja gani ya chanjo wakati waliochanjwa hali inazidi kuwa mbaya kuliko sisi tusiochanjwa?
 
Kwahiyo umekariri kuwa chanjo ni chanjo hakuna chanjo fake. Malengo ya wakati hadi leo yamebaki yaleyale. Kama wazungu wenyewe wanaigiza kuchanjwa unategemea nini?

Mzungu hajawahi kuwa rafiki wa mwafrika hata siku moja. Hii ingekuwa chanjo isingekuja na shikizo kiasi hiki. Lakini pia huko kwao maambukizi mapya yangepungua.
 
Nchi hii inatatizo kubwa mnoooo la watumishi labla shida ilianzia kwenye mifumo ya Elimu yetu, watu wanapeana vyeo wasio na sifa stahiki matokeo yake wanaanza kulindana na Nchi inazama matopeni.

Nchi inatakiwa ifumuliwe tuanze upya tuu.
Maneno ya kweli. Hata mfumo wa ajira Tsmisemi ni jipu pevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…