Acha kutapika pumba wewe. Acha wanaohitaji chanjo waipate na hutolazimishwa kuchanjwa, kwa nini mnawapangia wengine maamuzi ya kufanya? Wewe na familia yako kama hamtaki ni sahihi ila funga hilo domo na fungua ubongo wako ufanye kazi yake ipasavyo."Mtatishwa sana ndugu zangu waTanzania, lakini simameni imara"
"Simameni imara, chanjo hazifai"
"Kama wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya UKIMWI ingekuwa imeshaletwa"
"Hata chanjo ya kifua kikuu ingekuwa kifua kimeshaondoka"
"Hata chanjo ya MALARIA ingekuwa imeshapatikana"
"Hata chanjo ya KANSA ingekuwa imeshapatikana"
"Ni lazima waTanzania tuwe waangalifu, kwa mambo ya kuletewa letewa"
"Msije mkafikiria mnapendwa sana"
Kama wewe hutaki chanjo ni sawa ila usiwapangie wengine.Ni wazi course ya molecular biology ilikugonga sana na ukatoka kama ulivyoingia na kukariri vocabulary kidogo ambazo hata matumizi yake huyajui! Nakushauri urudi darasani, ukifuta umbulula, uzwazwa, uhobobo, usakala, na ujinga ndio urudi tujadiri😂😂😂🤣🤣🤣🤣😜!
Jinga kabisa!Nani wa kukulazimisha KUCHANJWA ?!!!
Umetoa mfano usiooana na uhalisia...EVA hafanani na uhalisia ULIOPO....
Mbona hukatai kumpeleka mwanao KUCHANJWA chanjo dhidi ya KIFADURO?!!
Mbona hukatai kumpeleka mwanao KUCHANJWA chanjo dhidi ya SURUA?!!
Mbona hukatai kumpeleka mwanao mdogo KUCHANJWA chanjo dhidi ya HOMA YA INI ?!!
Mbona huandamani na kuikataa chanjo apewayo mwanao dhidi ya KIFUA KIKUU ,KICHOMI ,PEPOPUNDA NA DONDA KOO ?!!
CHANJO ZOTE HIZI zinatoka hukohuko ulaya na si kwa babu yako BWENI......
Mihemko ya hisia za uzalendo koko bakini nao wenyewe.....wako watu wanasafiri kila uchao ,wako watu wanafanya kazi na Watalii...HAWA WOTE WATAKUBALI KUCHANJWA......
Binafsi ninaisubiri kwa HAMU MNO....
#Uhalisia
#SayansiSiSiasaKokoZaKizalendo
#TunaisubiriaChanjo
#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfSSH
Noted mkuu thanks much[emoji120]"Mtatishwa sana ndugu zangu waTanzania, lakini simameni imara"
"Simameni imara, chanjo hazifai"
"Kama wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya UKIMWI ingekuwa imeshaletwa"
"Hata chanjo ya kifua kikuu ingekuwa kifua kimeshaondoka"
"Hata chanjo ya MALARIA ingekuwa imeshapatikana"
"Hata chanjo ya KANSA ingekuwa imeshapatikana"
"Ni lazima waTanzania tuwe waangalifu, kwa mambo ya kuletewa letewa"
"Msije mkafikiria mnapendwa sana"
Babu jiangalie vizuri hata ivo inaonekana hata linda huna.Conspiracy theories tupu hobobo weee 🤣🤣
Yaani ya ndui walikuwa wataalamu ,hii ni "mashetani" 🤣🤣Kweli huna ujualo zaidi ya HISIA TU.....
Unakula processed foods kila uchao ,unatumia vilivyotengenezwa nje kila uchao....Leo iwe chanjo mbaya ya kutaka kuwamaliza WAAFRIKA Khaaaa kweli SIASA ZA KIHAYAWANI hizo 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babu jiangalie vizuri hata ivo inaonekana hata linda huna.
Unashobokea wazungu hadi kero yaani.
Jipe muda wa kutafiti na kujifunza. Hiyo chanjo hao wazungu wenyewe baadhi ya madaktari huko kwao wanaipinga. Na hadi sasa imeshaua zaidi ya watu 3300.....
Wewe shoga mmoja upo hapa kutetea. Jinga kabisa!
Sure.She is not perfect but at least not fake
Indeed!!
mabeber walikuwa akina nani?Awamu ya tano tulikuwa na shujaa wa Afrika, tulikuwa mstari wa mbele katika vita ya kiuchumi dhidi ya mabeberu
Mabeberu wameshinda vita.mabeber walikuwa akina nani?
vip mlishinda?
Sipo serikalini wala chamaNenda kalilie makaburini
Kwa hiyo serikali inataka iwape chanjo watu wake ili IWAUE ?!!!Babu jiangalie vizuri hata ivo inaonekana hata linda huna.
Unashobokea wazungu hadi kero yaani.
Jipe muda wa kutafiti na kujifunza. Hiyo chanjo hao wazungu wenyewe baadhi ya madaktari huko kwao wanaipinga. Na hadi sasa imeshaua zaidi ya watu 3300.....
Wewe shoga mmoja upo hapa kutetea. Jinga kabisa!
Mbona tunawapeleka kuwachanja watoto wetu chanjo dhidi ya KIFADURO ,DONDA KOO ,SURUA ,KIFUA KIKUU ,PEPOPUNDA ,HOMA YA INI ,KICHOMI ,HOMA YA UTI WA MGONGO ?!!!Jinga kabisa!
Unachanjwa kwa kukinga ugonjwa ambao ni wakufikirika?
Usisahau kumchanja na bibi yako
Kwa hiyo serikali yetu adhimu itaingiza chanjo FEKI ili IWAUE RAIA WAKE ?!!!!Kwahiyo umekariri kuwa chanjo ni chanjo hakuna chanjo fake. Malengo ya wakati hadi leo yamebaki yaleyale. Kama wazungu wenyewe wanaigiza kuchanjwa unategemea nini?
Mzungu hajawahi kuwa rafiki wa mwafrika hata siku moja. Hii ingekuwa chanjo isingekuja na shikizo kiasi hiki. Lakini pia huko kwao maambukizi mapya yangepungua.
Wamejilisha "ujinga" mkuu wangu 🤣🤣Umemaliza mkuu, kipekee sitapoteza hata dk1, zikija tu ninazo. Hao wazalendo fake wa corona kwenye mbuzi achana nao na propaganda zao