Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa hiyo umeibeba dhamana ya utetezi wake.
 
Ndio maana anachunguzwa kwahiyo asiwe na hofu. Matokeo ya uchunguzi hayajatoka.

Kwanini hujahukumiwa lakini unakuwa na wasiwasi sana.
 
Sabaya ni jembe , kazi aliyoifanya Kwa juu Juu kama uonevu Ila kazi yake ni valuable Sana , fatilia Tu Hapo Hai na Arusha watu gani walikuwa wamejificha ..kimsingi Sabaya alikuwa ni mbuzi wa kafara Kwa CCM na kafara ambayo ingelipa kama jiwe angekuwepo Ila Kwa huyu mama kama ulivyosema inabdi awe smart
 
Ikiwa hao unsowaita genge au kikundi cha watu wachache ni wachafu, haimaanishi wasichukuliwe hatua lakini pia haimuondolei huyo jamaa tuhuma na dhuluma alizofanya.

Sisi tunachotaka haki itendeke na kilavmmoja apokee ujira wa kazi yake.
 

 
Hukumjua na humjui vyema Sabaya! Yeye no Kati ya viongozi vijana ( chawa) waliofanikiwa kuifanya uchawa wao kupora, kutesa na kutoa rushwa kwa wanausalama ili wasiwachukulie hatua za kinidhamu!
Sabaya, makonda, Hapi na yule aliyekuwa rc wa manyara walikuwa hawana tofauti na kile kikundi Cha waporaji kilichojiita mbwa mwitu kule mbagala! Hawa sio wa kuwaonea huruma Bali hatua za kisheria zichukuliwe kwao na walizokuwa wamewawekea Kinga na kuwalinda! Wapo na wanajulikana huko TISS.
 

Rudisha hela ya huyo kijana dhalimu ww, wenzako wamejaribu kumsafisha lakini wamekwama itakuwa ww? Ni hivi, huyo kijana ni mmoja kati ya viongozi walioendesha siasa za kishenzi na kikatili sana, chini ya yule kiongozi dhalimu aliyeko kuzimu. Ni hivi tu ccm wana utaratibu wa kulindana, vinginevyo leo hii angekuwa jela.
 
Wewe pimbi nyamaza. Huelewi ni kwa kiasi gani hiyo takataka ilivyotunyanyasa kisa cheo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najilaumu Kwanini nimepoteza muda kusoma post ya kipuuzi hii?!!,Post inamtetea Sabaya mjini,jambazi,jinga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…