Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Una uhakika wanalipwa? Make ndo msingi wa hoja hapa!sasa ww unataka ndege zitembee mmbarabarani kama V8?
ofcourse kazi yake ni kuruka na kutua.
ATCL analipwa stahiki zake.. usidhan pale anasafiri bure
Anaongea sana... Hana kituo, mtiririko wala muunganiko...Rais wa kiti maalum.
Uhakika ni proof! Si ulete sasa ka unao??Wewe Una uhakika halifanyiki?
are you? maana umeanza kwa kulaumu.Una uhakika wanalipwa? Make ndo msingi wa hoja hapa!
Namna tu ya kuwasilisha... Inawezekana kabisa ukaleta ushahidi unaonesha ni bora hizo ndege ziendelee kutumika kwenye utaratibu huo. Na ikibidi hata PM a VPO nao wazitumie!are you? maana umeanza kwa kulaumu.
Listen chawa ProMaxUhakika ni proof! Si ulete sasa ka unao??
Tatizo lenu mnakuwa chawa hadi kwenye akili zenu!!
Mdada mzuri aiseeeeeYuko wapi aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr Nyambura MOREMI?
Ni wakati wa Gwajima kujitathimini kwenye kiti hicho.
Sina shaka kabisa mama atakaa miaka 10, kwangu mimi ni awamu ya sita kwasababu aliyepo sasa ni n Rais mwingine na ndo maana anweka na kutengeneza utawala wake kwa kuteua viongozi wa kuendana na matakwa yake.Siyo awamu ya sita mkuu, Rais wa sita awamu ya tano. Awamu ni miaka kumi
Basi iwe wizara ya viwanda, uwekezaji na biashara ili iwe jumuishi.Ushauri wangu kwa kuwa nimefanya research mbalimbali na upembuzi yakinifu katika uchumi wa mabeberu nakushauri Mama vunja wizara ya viwanda na biashara na unda wizara ya uwekezaji
Kwani si ipo wizara ya uwekezajiUshauri wangu kwa kuwa nimefanya research mbalimbali na upembuzi yakinifu katika uchumi wa mabeberu nakushauri Mama vunja wizara ya viwanda na biashara na unda wizara ya uwekezaji