Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Hana mamlaka ya kufuta uchaguziMama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Tunakoelekea Uchaguzi mwaka 2020, Maza anaufuta. Haitaji dhuluma hata kidogo.Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Waliko mjengoni dodoma wajiandae kuwatumikia wananchi na kuonekana wanafanya kazi majimboni, ule wakati wa kusema nileteeni huyu nileteeni huyu haupo tena. Ule mpango wa kupitia bila kupingwa haupo tena. Jiandaeni kisaikologia mwaka 2025Unao uwezo wa kulipia gharama zote za kuandaa uchaguzi mpya?,
Magufuli ameshaondoka na katiba unafanya kazi Ndio maana pengo lilizibwa upesi sana.
Na huyu mama anakitendea haki cheo kwani ni mzoefu wa siasa na utendaji. Anavutia wawekezaji kwa kutanguliza haiba ya kiungwana ya mtu anayeshaurika na kuingilika Kimawazo na kimtazamo.
Hayati alishindwa kupanda ndege na kwenda Ulaya na nje ya Afrika huyu mama atakwenda na kuifungua nchi kwa mapana.
Amka mleta uzi tupa blanketi pembeni jinyooshe sali Sala ya asubuhi na uifurahie siku mpya.
Hata Kura za maoni ndani ya CCM mlizichakachua. Kurwa biteko alitakiwa kuwa mbunge halali kupitia CCM Yuko wapi sasa?Uchaguzi ulikuwa mzuri na wa haki kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika. Sera kuu ya CCM ilikuwa ni kumalizia utekelezaji wa yale mazuri yalioanzishwa na serikali ya awamu ya tano, huku kwa upande wa upinzani sera zao zilikuwa ni kuruhusu ushoga nchini, kuruhusu uuzaji wa madawa ya kulevya kiholela mitaani nk. Kwahiyo wananchi walipima sera za wagombea na kuamua kuipa CCM ushindi wa tsunami,huku wapinzani wakiongozwa na viongozi wao wakiangukia pua katika majimbo yao.
Ulishangilia sana ule mkeka wa majuzi na ukajipambanua kwamba humpingi mama, leo umepigwa kunako patikana maumivu, umebadilisha gear hewani! Wewe na ma-sukumagang wenzako mtaishi au kufa na maumivu sana na tumbo la kuharisha litakuwa tatizo lenu la kudumu!Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Maumivu yakizidi, muone daktari!Uchaguzi ulikuwa mzuri na wa haki kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika. Sera kuu ya CCM ilikuwa ni kumalizia utekelezaji wa yale mazuri yalioanzishwa na serikali ya awamu ya tano, huku kwa upande wa upinzani sera zao zilikuwa ni kuruhusu ushoga nchini, kuruhusu uuzaji wa madawa ya kulevya kiholela mitaani nk. Kwahiyo wananchi walipima sera za wagombea na kuamua kuipa CCM ushindi wa tsunami,huku wapinzani wakiongozwa na viongozi wao wakiangukia pua katika majimbo yao.
Kwa taarifa yako huku mitandaoni ukweli kuwa uchaguzi haukuwa halali ni toka dhalimu akiwa hai. Na huyo mama hana wafuasi huku mitandaoni, bali alitukuta tukiusema ukweli,na yeye ana hofu ya Mungu hivyo kaamua kusimamia ukweli. Kwakuwa ulikuwa kwenye kundi la watu wasiojulikana, saa hii una hofu tupu maana unajua mama kwa kasi hii atahamia kwenu.Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Ulishangilia sana ule mkeka wa majuzi na ukajipambanua kwamba humpingi mama, leo umepigwa kunako patikana maumivu, umebadilisha gear hewani! Wewe na ma-sukumagang wenzako mtaishi au kufa na maumivu sana na tumbo la kuharisha litakuwa tatizo lenu la kudumu!
Hana hayo mamlaka kisheria na kikatiba labda kuvunja bunge
Kajifunze kwanza katiba na sheria za nchi zinasemaje acha kuwa mjinga.
John Mrema pia aliangukia pua kwenye kura za maoni, lkn mwenyekiti Mbowe alimpitisha kimabavu. Je hii ndio demokrasia? Pia ushawahi kuuliza humu kuhusu hili?Hata Kura za maoni ndani ya CCM mlizichakachua. Kurwa biteko alitakiwa kuwa mbunge halali kupitia CCM Yuko wapi sasa?
... taifa litayumba! Mwache amalizie muda wake kwa salama na tunamwombea kheri aendelee hadi 2030 kama hatakengeuka akawageuka watu wake! Tunachohitaji ni upendo, haki, na amani vitawale nchini bila ubaguzi wowote wa kimakundi!Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake
Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Dr Charles Kimei Naye aliangukia pia, Leo ni mbunge. Kweli watakao uona ufalme wa mbinguni ni wachache sana.John Mrema pia aliangukia pua kwenye kura za maoni, lkn mwenyekiti Mbowe alimpitisha kimabavu. Je hii ndio demokrasia? Pia ushawahi kuuliza humu kuhusu hili?