Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kesi iko mahakamani Kama nyinginezo.......

Rais hayuko mahakamani......

Huku mitaani mzunguko wa pesa umeanza kuonekana na mh.Samia ananoga haswa......


#Siempre JMT
Acha hizo, kesi za masheikh wa uamsho zilikuwa mahakamani mbona mlishangilia na kusema mama Samia kawatoa, ana huruma. Iweje kesi ya mbowe ndio mseme eti tuiachie mahakama
 
Acha hizo, kesi za masheikh wa uamsho zilikuwa mahakamani mbona mlishangilia na kusema mama Samia kawatoa, ana huruma. Iweje kesi ya mbowe ndio mseme eti tuiachie mahakama
Kwani anavyowaacha huru wafungwa katika sikukuu kwa kitaifa huwa ni lazima afanye hivyo?!!

Mahakama ndiyo itakayoona Mbowe ana hatia ama laa.....
 
Enzi za utawala wa Magufuli umeme haukua changamoto kabisa,na hata siku ambayo kulikua na marekebisho ya miundombinu ya umeme basi TANESCO walikua wanatoa taarifa siku mbili kabla ya nini kitatokea na masaa ambayo huduma ya umeme haitopatikana.

Sasa tokea mheshimiwa SSH aingie madarakani mambo yamekuwa vice versa,umeme unakatika hovyo tu na tena hata bila taarifa kwa wateja, mfano siku ya leo sehemu kubwa ya Dar haikua na umeme na hakuna hata kiongozi yeyote wa serikali anayejali hilo suala.

My point is, Mama Samia usipokua makini na hawa Tanesco watakujengea chuki kubwa sana kwa wananchi. Nakuomba uwe mkali mama na ikiwezekana tumbua kuanzia waziri wa wizara husika na menejiment ya Tanesco, tuwekee watu wanaojua kuchapa kazi, sio hao uliowaweka kwani ni kama wanakuhujumu tu.
 
Yaani waafrika hua tunapenda kuabudiwa Sana, sijui kwanini wakipata madaraka wanageuka miunguwatu Hawa viumbe inasikitisha Sana

Kwahiyo nchi haiendeshwi Kwa sheria na taratibu ila Kwa matamko ya wanasiasa
Mweeeee mbombo ngafu mwaisa!
 
Wewe umejua wapi pa kuelekeza dukuduku lako nashangaa sana kuona wanaomshambulia Zitto kwa kutoa maoni yake. Wakushambuliwa ni hao wenye mamlaka
 
Kwa mujibu wa Jarida la Sauti Kubwa rais ameambiwa na mkwe Mchengerwa na Zerro kuwa kuna watu wanamdharau hasa Mbowe
Bila kujiridhisha ana react kwa hasira
Leo ndiyo kalikoroga zaidi ni heri angekaa kimya kama hajamsikia zitto. Ugaidi na heshima wapi na wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bavicha msinene kwa lugha! Muda bado!

Mbaya wenu si alishakufa na mkashangilia sana?

Si mnapumua nyie?
 
Leo ndiyo kalikoroga zaidi ni heri angekaa kimya kama hajamsikia zitto. Ugaidi na heshima wapi na wapi?
Inashangaza sana kwa rais kufikiria kumuachia gaidi baada ya maombi ya Zitto. Kumbe ilikua ni dharau na siyo ugaidi?

Anataka vyama vya upinzani vimpigie magoti!?
 
Back
Top Bottom