fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nakusapoti kabisa kwa hoja yakoUkweli lazima usemwe tu, Kuna kakikundi flani ambako Wana jaribu Sana kutumia nguvu ili kuafifisha juhudi na kazi kubwa anayo Ifanya Rais wetu mpendwa...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app