Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hivi wasukuma kwa nini walimuhadaa huyo Bibi mpka wakampa jina la Hangaya jamani!!
 
ITIKADI ya chama chako ni ipi?
Hii hapa mkuu[emoji1787]
JamiiForums-289452902.jpg
 
Yalikuwa ni mawaidha bora kabisa,
Pia rais phillipo Nyusi wa msumbiji na Tshisekedi wa congo nao waliongea vyema sana kumtia moyo na kumueleza namna bora ya kufanya kazi Kama mchwa.

Naona kazingilwa na walafi wa mali za umma
 
Hao walafu ndo wanamsifia na kumuambia anaupiga mwingi huku wakiiba resilkmali za nchi
 
Yalikuwa ni mawaidha bora kabisa,
Pia rais phillipo Nyusi wa msumbiji na Tshisekedi wa congo nao waliongea vyema sana kumtia moyo na kumueleza namna bora ya kufanya kazi Kama mchwa.
Naona kazingilwa na walafi wa mali za umma
wahuni atawashughulikia mmezidi unafiki
 
Njia gani? ya wasiojulikana? Ya kuwapora wafanyabiashara fedha zao? Kupiga risasi wapinzani? Kurecord mazungumzo na kusoma meseji?
 
Yaani unamshauri mama afuate njia ya jini jiwe a.k.a dikteta??
 
Yalikuwa ni mawaidha bora kabisa,
Pia rais phillipo Nyusi wa msumbiji na Tshisekedi wa congo nao waliongea vyema sana kumtia moyo na kumueleza namna bora ya kufanya kazi Kama mchwa.
Naona kazingilwa na walafi wa mali za umma
CCM sio chama cha siasa.
CCM akija hata malaika lazima atabadilishwa na kuwa shetani.
Tatizo ni CCM.
Unajua kwa nini tatizo ni CCM!?
1. Kuna watu wameaminishwa kuwa bila ya CCM kuwa madarakani, maslahi yao na ya vizazi vyao hayatakuwepo.
2. Kuna "oligachi" ndani ya CCM, hao ukigusa maslahi yao, utayaona ya "cha mtema kuni".
3. Ujinga wa watanzania wengi ni mtaji kwa CCM kutoongoza vyema.
4. Katiba mbovu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sikio la kufa halisikii dawa
Mwacheni mama anaupiga mwingi
 
Walikuwepo viongozi wengi toka nchi jirani mbalimbali kuaga mwili wa hayati Magufuli,mengi walizungumza mema kuhusu kiongozi huyu,
Nakumbuka hotuba ya uhuru Kenyatta ,alikwambia dada yetu njia umekwisha onyehwa na hayati Magufuli,wengi walishangilia na wewe imani yangu ulipata ujasiri

Nini kimekukuta ndani ya muda mfupi ikiwa njia ulikwisha onyeshwa?
Hebu tafakari upya tena maneno ya Uhuru Kenyatta.

Kuteleza sio kuanguka,muda unao wa kujisahihisha,serikali bado ni ileile na wewe ndio Amiri jeshi mkuu
The honeymoon might be over! Mwaka haukutimia. Anaweza kukikimbia kiti
 
Ukweli lazima usemwe tu, Kuna kakikundi flani ambako Wana jaribu sana kutumia nguvu ili kuafifisha juhudi na kazi kubwa anayo Ifanya Rais wetu mpendwa.

Kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya kazi kubwa ya kuirudisha nchi yetu kwenye mahusiano ya kimataifa, mahusiano ambayo yalikuwa yamepotea kabisa, wawekezaji sasa Wana miminika kwa sababu mazingira ya uwekezaji sasa ni rafiki, Jambo ambalo hapo kabla lilikuwa limeharibiwa na kakikundi flani kilicho jificha kwenye joho lauzalendo huku likiwa genge la wizi tu.

Jambo ambalo Watanzania tunapaswa kufanya ni kumshukuru Mungu kwa kulinusuru Taifa letu toka katika mikono ya maharamia wa kiuchumi waliokuwa wamekumbatia na kuhodhi njia zote za kiuchumi, Tena hawakuta kabisa mtu yeyote ajaribu kuhoji matumizi ya fedha za serikali, Jambo ambalo unge jaribu kufanya bila ya Shaka lolote linge kuletea kifo.

Mama Samia chapa kazi, hiki NI kipindi ambacho Kila anaye lipenda Taifa lake lazima atakuunga mkono.

MUNGU MBARIKI RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
 
Samia awe na amani! Hawa wapuuzi wachache waliozoea mbeleko kutokana na ukabila hawatusumbui. Tutadeal Nao
 
Back
Top Bottom