Sauti inatosha bila shaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauti inatosha bila shaka.
Kwa hapa kwetu naona inaendana na imani au na mazingira ya kukulia. Sasa mtu kazaliwa kwenye familia ya kiislam unategemea atakosa kuzoea ushungi hatakama ni jambazi sugu mwanamke? Ni sawa na umshangae mtu kubeba biblia au kuvaa tai na masuti kila mara huku ni mchawi hatari. YESU ALISEMA UTAWATAMBUA WATU KWA MATENDO YAO. SIO MUONEKANO AU MANENO. MNAZI HAUWEZI KUZAA NJUGU MAWE.Hivi ushungi ni utamaduni au Imani unahusiana na mtu?
Kama ni utamaduni sawa hata wamasai wana wao,kama ni Imani Mwaisa sina jibu mtubad.
Hivi wasaidizi wa Rais huwa hawaoni urefu wa misafara yao na kuuliza nyie wote mna kazi gani? Hao mawaziri/manaibu hawaoni wakuu wa Idara wasiohusiana nao kwenye misafara yao na kuzuia? Wananchi wanakosa huduma inayohitaji mil.15 tu lakini ziara moja ya Naibu waziri inatafuna mil.9?Hawa viongozi ni hamna kitu kabisa
Tuwe macho tusije tukawa tunamjenga mtu na sio nchi. Kuna mda tunapaswa kuweka pembeni uanachama na kuweka mambo bayana ili kuijenga nchi yetuTUBADILIKE TUIJENGE NCHI YETU NZURI YA TANZANIA.
ASANTE MTOA MADA