Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Unachokiaona na kukisikia ni tofauti na kilichoko huko ndani ndani.

Mshauri avunje bunge labuda apata ahuweni. Ni wabunge wachache sana wako na Mama mwenyewe.
 
Unachokiaona na kukisikia ni tofauti na kilichoko huko ndani ndani.

Mshauri avunje bunge labuda apata ahuweni. Ni wabunge wachache sana wako na Mama mwenyewe.
mnachekesha sukuma gang, avunje bunge hili tuingie kwenye uchaguzi o mkuu, mbona kumuondoa ndugai ni rahisi sanaaaaa bila kuitia Nchi hasara, huo upotoshaji wenu mumpotoshe ndugai
 
mnachekesha sukuma gang, avunje bunge hili tuingie kwenye uchaguzo mkuu, mbona kumuondoa ndugai ni rahisi sanaaaaa bila kuitia Nchi hasara, huo upotoshaji wenu mumpotoshe ndugai
Atakuwa na safari ndefu sana hadi ifike 2025.

Hapa anamiezi tisa tu hadi sasa
 
Wasalaam wanajamii

Mh Rais ikikupendeza tunaomba utapatie KATIBA MPYA, wape watanzania katiba mpya uone kama kuna mtu ataiwaza hio 2025,na isitoshe kusema utaacha legacy ambayo haitaka ifutike vizazi na vizazi,yangu ni hayo tuu
 
Kimsingi sikuwahi kuwa mapenzi wa ccm na sidhani kama nitakaa niipende. Ila mtu mmojammoja hao hutokea wakanikosha mmoja wao ni rais samia. Tokea alipoenda nairobi mkumjulia hali Lissu nilimuona mama ni muungwana. Najua kuna mambo anayafanya sio yeye hata yeye hangependa yatokee shida ni mfumo. Hata hilo la mbowe litapita na mbowe hafungwi ng'ooo chini ya mama.

Ndugai utakula jeuri yako. Mama uko CCM hiyo ni njia tu usijali endelea kutenda mema Ili hata ukistahafu ule pension yako kwa amani.

Long live cinc ssh.
 
Kimsingi sikuwahi kuwa mapenzi wa ccm na sidhani kama nitakaa niipende. Ila mtu mmojammoja hao hutokea wakanikosha mmoja wao ni rais samia. Tokea alipoenda nairobi mkumjulia hali lissu nilimuona mama ni muungwana. Najua kuna mambo anayafanya sio yeye hata yeye hangependa yatokee shida ni mfumo. Hata hilo la mbowe litapita na mbowe hafungwi ng'ooo chini ya mama. Ndugai utakula jeuri yako. Mama uko ccm hiyo ni njia tu usijali endelea kutenda mema Ili hata ukistahafu ule pension yako kwa amani.

Long live cinc ssh.
Licha ya yote Bado ujatimiza ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia TV chogo 1988. Lazima uniue bana.

indian-old-man-sitting-andhra-pradesh-south-india-C2MXMH~2.jpg
 
Kimsingi sikuwahi kuwa mapenzi wa ccm na sidhani kama nitakaa niipende. Ila mtu mmojammoja hao hutokea wakanikosha mmoja wao ni rais samia. Tokea alipoenda nairobi mkumjulia hali lissu nilimuona mama ni muungwana. Najua kuna mambo anayafanya sio yeye hata yeye hangependa yatokee shida ni mfumo. Hata hilo la mbowe litapita na mbowe hafungwi ng'ooo chini ya mama. Ndugai utakula jeuri yako. Mama uko ccm hiyo ni njia tu usijali endelea kutenda mema Ili hata ukistahafu ule pension yako kwa amani.

Long live cinc ssh.
Kuhusu Ndugai. Leo nakunywa Balimi. sina pesa ya bia za maana angalau hata haya mataputapu basi
 
Wadau, nilikuwa nashauri mama apatiwe likizo japo la wiki 2 ili akajipumzikie kule zanzibar kulea wajukuu na kula bata bata hivi, nadhani mama amefanya kazi kubwa sana kwa muda mfupi sana ambao tokea ameapishwa kuwa Rais.

Juhudi kubwa amefanya ambazo nadhan watanzania walio wengi sasa wanafuraha tele kwa muda mfupi sana. Marais wengi wamepita lakini mama ameonyesha uthubutu wa kweli zaidi, uzalendo na anatimiza wajibu wake kikamilifu.

Hili la Ndugai ni katika jambo kubwa lilotokea akitimiza wajibu wake kama Mkuu wa Nchi, amekuwa akisema mara zote tusimchukulie kwa jinsia yake. Tumpe muda huyu mama atatuwekea nchi yetu sawa.
 
Back
Top Bottom