Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Demokrasi imepanuka. Wawekezaji wanapenda kuwekeza sehemu yenye demokrasia siyo pale ambapo mkuu wa wilaya au mkoa akiamua anakukoromea au kukusweka ndani tu Kama ilivyokuwa kwa akina sabaya na makonda.Kama misaada ndio kipimo cha urais serikali inakazi sana kuwaelimisha wagogo
Kama demokrasia ipo kwa ajili ya misaada na sio maendeleo hiyo ni yakuwachana nayo.Demokrasi imepanuka we mbumbumbu. Wawekezaji wanapenda kuwekeza sehemu yenye demokrasia siyo pale ambapo mkuu wa wilaya au mkoa akiamua anakukoromea au kukusweka ndani tu Kama ilivyokuwa kwa akina sabaya na makonda.
safi sana , naona mtoa post aliposoma hiyo comment amekunywa na maji.Ni watu wenye akili tu wanao jua Magufuli alikua ni Rais wa dunia.
Jpm alifukuza wawekezaji wote akabaki anatengeneza kundi la machinga tu. Uchumi ungekuaje Sasa Kama wanaoukuza wamekimbia. Unafikiri uchumi unakuwa kwa kufoka na ubabeKama demokrasia ipo kwa ajili ya misaada na sio maendeleo hiyo ni yakuwachana nayo.
Kwa aina ya watu tulionao Tanzania staili ya kufikia maendeleo ya kweli ni ile aliyokuwa anatumia mwamba. Maduanzi wachache kama sabaya na makonda hao ni impurities tu
Ni bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?
Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.
Kwani Hangaya mpaka sasa kaleta meekezaji gani? Bakharesa karibu anafungua kiwanda chake cha Sukari pale Bagamoyo lile eneo alipewa bure na hayati kama sikosei ni Hekari 1000 alimpa bila kuomba bila nn akamuomba ajenge kiwanda cha sukari na Bakharesa kafanya hivo.Demokrasi imepanuka we mbumbumbu. Wawekezaji wanapenda kuwekeza sehemu yenye demokrasia siyo pale ambapo mkuu wa wilaya au mkoa akiamua anakukoromea au kukusweka ndani tu Kama ilivyokuwa kwa akina sabaya na makonda.
Kama misaada ndio kipimo cha urais serikali inakazi sana kuwaelimisha wagogo
Hoja siyo misaada. Uwekezaji ndo hoja. Panua ubongo kijanaKwa hiyo ku align kwenye ideology za beberu ili akupe misaada ndo ina determine ubora wa rais wa nchi ya wadanganyika?
Hoja Ni uwekezaji kijana. Na ujue hata marekeni inapata grants, loans from other countries despite being the first world economy. Ubabe hausaidii ukiwa maskini Sana Sana unauwa watoto eti wakujue we Ni naniKutegemea misaada ni dhana mfu inayotakiwa kukemewa kuwa itokomee pamoja na wale wanaoishabikia!!
Yaani misaada ndio kipimo cha ubora wa raisi wa inchi?!
Hoja Ni uwekezaji kijana. Na ujue hata marekeni inapata grants, loans from other countries despite being the first world economy. Ubabe hausaidii ukiwa maskini Sana Sana unauwa watoto eti wakujue we Ni nani