Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?

Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.
 
Kama misaada ndio kipimo cha urais serikali inakazi sana kuwaelimisha wagogo
Demokrasi imepanuka. Wawekezaji wanapenda kuwekeza sehemu yenye demokrasia siyo pale ambapo mkuu wa wilaya au mkoa akiamua anakukoromea au kukusweka ndani tu Kama ilivyokuwa kwa akina sabaya na makonda.
 
Demokrasi imepanuka we mbumbumbu. Wawekezaji wanapenda kuwekeza sehemu yenye demokrasia siyo pale ambapo mkuu wa wilaya au mkoa akiamua anakukoromea au kukusweka ndani tu Kama ilivyokuwa kwa akina sabaya na makonda.
Kama demokrasia ipo kwa ajili ya misaada na sio maendeleo hiyo ni yakuwachana nayo.
Kwa aina ya watu tulionao Tanzania staili ya kufikia maendeleo ya kweli ni ile aliyokuwa anatumia mwamba. Maduanzi wachache kama sabaya na makonda hao ni impurities tu
 
Jpm alifukuza wawekezaji wote akabaki anatengeneza kundi la machinga tu. Uchumi ungekuaje Sasa Kama wanaoukuza wamekimbia. Unafikiri uchumi unakuwa kwa kufoka na ubabe
 
Ni bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?

Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.

Mama samia is ze best, kama umuanavyo mchezaji bora kuwai kutokea(Messi) basi mama samia nae ni rais bora kuwai kutokea in Tanzania
 
Demokrasi imepanuka we mbumbumbu. Wawekezaji wanapenda kuwekeza sehemu yenye demokrasia siyo pale ambapo mkuu wa wilaya au mkoa akiamua anakukoromea au kukusweka ndani tu Kama ilivyokuwa kwa akina sabaya na makonda.
Kwani Hangaya mpaka sasa kaleta meekezaji gani? Bakharesa karibu anafungua kiwanda chake cha Sukari pale Bagamoyo lile eneo alipewa bure na hayati kama sikosei ni Hekari 1000 alimpa bila kuomba bila nn akamuomba ajenge kiwanda cha sukari na Bakharesa kafanya hivo.

Wale Elsewedy alipoenda kufungua Hangaya walianza Ujenzi wa kiwanda chao tangia 2019.

Mwisho namalizia kwa kukupa hotuba hii ya mwalimu then jiulize unafikiri Elsewedy walivutiwa na maneno tu au waliiona fursa mara baada ya kuapata tender yakujenga Hydroelectric Rufiji?
Screenshot_2022-02-11-23-59-42-56.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo nilipenda mno mno mno mno rais kutoka kanda ya ziwa, lakinii marais waisilamu nitaendelea kuwakubali. Hususani uyu mama anafaiti sana bandugu
 
Kutegemea misaada ni dhana mfu inayotakiwa kukemewa kuwa itokomee pamoja na wale wanaoishabikia!!
Hoja Ni uwekezaji kijana. Na ujue hata marekeni inapata grants, loans from other countries despite being the first world economy. Ubabe hausaidii ukiwa maskini Sana Sana unauwa watoto eti wakujue we Ni nani
 
Acha uongo wa kucopy na kupaste, Marekani inapata grants toka nchi gani? Uwekezaji uwe wa akili sio kuwaleta wawekezaji huku mnawapa work permits za kuwaleta wafanyakazi kutoka kwao huku mkilalamika kuwa vijana wenu hawana ajira; nonsense!! Uwekezaji uwe na manufaa kwa nchi na pia hao wawekezaji; hapo ndio mtakuwa na win win situation sio kwa vile mnataka wawekezaji mnakubali kila kitu wanachotaka wao!! Huo utakuwa uwekezaji wa kijinga.
 
Back
Top Bottom