Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Unafahamu maana ya “Simba wa Yuda”!?Kwani mama kakosea??? Mwacheni mama ajinafasi yule msukuma alipokuwa rais wasukuma wote walikuwa watawala.
Hana ushawishi, hataweza na hataamini kitakachomtokea.Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.
Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.
Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,
Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.
Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo
Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.
Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Ameharibu sanaUnafahamu maana ya “Simba wa Yuda”!?
Bila shaka hata Mh. Rais hajui. Kumbe ndio maana huwa wanaandikiwa hotuba na kupaswa wasome script maana sio kwa akili zile
Na ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mengine sisi hatujui.Hana ushawishi, hataweza na hataamini kitakachomtokea.
Vita ya Uchaguzi Mkuu Tanzania ipo CCM wenyewe kwa wenyewe tu. Wakishamaliza kazi inakuwa imeisha. Hata Upinzani wanalifahanu hili vizuriMakamba Snr amesema wanajipanga kwa uchaguzi wa 2025, tusitegemee maendeleo chini ya uwongozi wa CCM.
Ushindwe na ulegee hatutaki chuki sisi.Mimi ninahisi Samia aliutumia muda mwingi sana kumuumiza JPM badala ya kutimiza wajibu wake kama makamu wa Rais.
Sasa amejifhihirisha wazi kwa watanzania tena bila kificho.
Kazi anayoifanya atayaona majibu yake rasmi 2025.
anakosaje sasa.Yupo humu
Kama mpaka miaka hii CCM ina ongelea kujenga shule na vituo vya afya vya voda faster kwa wananchi na wanyonge wanamshukuru Mheshimiwa Rais kwa ktuletea maji. Tuna safari ndefu.Vita ya Uchaguzi Mkuu Tanzania ipo CCM wenyewe kwa wenyewe tu. Wakishamaliza kazi inakuwa imeisha. Hata Upinzani wanalifahanu hili vizuri
Japo CCM wamekuwa wanaiba kila chaguzi, mwaka 2020 marehemu Magufuli kawaonyesha side nyingine ya wizi na mbaya zaidi alionyesha jinsi tulivyo wanyonge, wanafiki na waoga. Watarudia tena bila hofu.
Huyu Mama akishasimikwa na akina Kinana tu, njia nyeupe mpaka 2030. Unless ofcourse yampate ya JPM
Kweli hizi kauli mbaya!Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.
Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.
Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,
Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.
Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo
Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.
Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Can you be a little straight? U mean? 😂😂😂😂Tofautisha kati ya Uswahili na low intelligence, usichanganye mambo mimi ni Mswahili na ninajivunia Uswahili wangu na ninaelewa ninachokiongea, najua mipaka ilipo, sasa uwezo wa kujua mipaka ilipo siyo swala la Utamaduni bali ni intelligence, got it ?
Una ukakasi wa mawazo.Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.