Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Yeye mbona akiwa anapiga vitu vyake vikali hakuna anaye mjadili
Ukianza kufuatilia mambo binafsi ya watu kama unaongoza wanafunzi na watu wataanza kufuatilia hadi mambo yako binafsi

Marehemu alianzaga kufuatilia mambo binafsi ya watu tukaanza kuona mambo yake kwenye mitandao kuhusu Kebys, Dc kisarawe na mke ya balozi wetu china
 
Akili ndogo inajadili watu,akili kubwa inajadili masuala ya msingi.Asanteni
 
Wewe ndio una akili finyu ya uelewa,ile ile ni lugha ya picha tuu kwamba wasidhani wameteuliwa kwenda kufanya ufujaji na sherehe, akaongezea kwamba Unapata wapi mda wa kulala?

Swali utafanya Kazi bila kula? Kuna mtu ambae huwa halali?

Kuna watu mna akili ndogo Sana aisee.
 
kuchoma nyama sio ufujaji na sherehe

Hata vijijini watu wanachoma nyama na kunywa! Ni mambo ya kawaida sana kufanyika kwa sababu ndo mzunguko wetu wa maisha kama binadamu!

Kama wanafanya muda wa kazi sawa ila kama wanafanya nje ya muda wa kazi hilo halina shida!

Lazima kuwe na socialisation kwa sababu hutakuwa kazini muda wote! Huwezi kusema unatengeneza marafiki ukishastaafu na ndo mana wastaafu wengi wakirudi mtaani wanakufa mapema kwa sababu ya loneliness kwa kukosa hata watu wa kuongea nao
 
kuchoma nyama sio ufujaji na sherehe

Hata vijijini watu wanachoma nyama na kunywa! Ni mambo ya kawaida sana kufanyika kwa sababu ndo mzunguko wetu wa maisha kama binadamu...
Ndio maana Nimekwambia kwa akili yako wewe pale Rais anawaambia wasichome nyama au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…